Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

Ni kweli kabisa,kuna binadamu wa ajabu sana,Yuko radhi kusema hata mama yake mzazi kameza shoka Ili apate pesa za bwelele...na hii tabia sio wanawake tu hata Kuna baadhi ya wanaume wanatumia sana drama akijua mwanamke wake ana uwezo kiasi,utasikia"Hani,Kuna mzigo niliagiza bandarini nimekwama laki Tano,Niazime niutoe then nitakurudishia,kumbe hamna Cha mzigo wala Cha parcel..
Mi niliambiwa Kuna Msiba kwao Kondoa na hakuna ng'ombe wa kula msibani.. Yeye ndio anatakiwa atume hela ya kununua ng'ombe..
 
Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto!
Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota mpaka ATM nikatoa hela zote kwenye akaunti yangu na yako/ya mama/baba nk!
KUNANI?!
Wanawake ni wazembe
 
Ni kweli kabisa,kuna binadamu wa ajabu sana,Yuko radhi kusema hata mama yake mzazi kameza shoka Ili apate pesa za bwelele...na hii tabia sio wanawake tu hata Kuna baadhi ya wanaume wanatumia sana drama akijua mwanamke wake ana uwezo kiasi,utasikia"Hani,Kuna mzigo niliagiza bandarini nimekwama laki Tano,Niazime niutoe then nitakurudishia,kumbe hamna Cha mzigo wala Cha parcel..
😂huyo ni selemani sele.

I miss you dada mkubwa.
 
Back
Top Bottom