Those are the real comical ladies.Vicoba vitawaua na kuwatoa uaminifu na utu wao.Epuka tamaa!Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto...
Usanii mwingi!Those are the real comical ladies.Vicoba vitawaua na kuwatoa uaminifu na utu wao.Epuka tamaa!
Mimi kama muhanga, kuna mbwaa wanajua kuiba π mbwaa wanajua kucheza na timing. Yaan likukute ndio utaelewaβ¦ mtu anaweza akadhani ni unamdanganya, mimi ile simu imeibwa j3 asbh, j3 jioni nikarudi hewani.Depal una mchango gani ktk hili ndugu mjumbe?
Au vipi bhanaMimi kama muhanga, kuna mbwaa wanajua kuiba π mbwaa wanajua kucheza na timing. Yaan likukute ndio utaelewaβ¦ mtu anaweza akadhani ni unamdanganya, mimi ile simu imeibwa j3 asbh, j3 jioni nikarudi hewani.
Ukimwambia mtu, anaweza ona ni fixβ¦ unataka kumchuna π€£π€£
Kweli.Uzembe
Natumaini hujawahi kuwa mzembeKweli.
Mi ndio kiranja wao....hizo simu vibaka washachukua sana....ila Sijawahi ibiwa HelaNatumaini hujawahi kuwa mzembe
Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto!
Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota mpaka ATM nikatoa hela zote kwenye akaunti yangu na yako/ya mama/baba nk!
KUNANI?!
Sometimes sio ubahili ni vile baadhi ya wadada wamekuwa wafinyu wa fikra ktk kutafuta fedha!. Wanawake baadhi ukiwaonyesha fedha,kuwapawapa wakajua hapa zipo atatafuta mbinu umpatie haijalishi huwa unampatia au lah!.Mleta Uzi utakuwa MBAHILI sana kiasi mwanamke Ili apate pesa Yako mpaka acheze drama...
Ni kweli kabisa,kuna binadamu wa ajabu sana,Yuko radhi kusema hata mama yake mzazi kameza shoka Ili apate pesa za bwelele...na hii tabia sio wanawake tu hata Kuna baadhi ya wanaume wanatumia sana drama akijua mwanamke wake ana uwezo kiasi,utasikia"Hani,Kuna mzigo niliagiza bandarini nimekwama laki Tano,Niazime niutoe then nitakurudishia,kumbe hamna Cha mzigo wala Cha parcel..Sometimes sio ubahili ni vile baadhi ya wadada wamekuwa wafinyu wa fikra ktk kutafuta fedha!. Wanawake baadhi ukiwaonyesha fedha,kuwapawapa wakajua hapa zipo atatafuta mbinu umpatie haijalishi huwa unampatia au lah!.
kumpatia kwako yeye anachukulia wewe ni boya,linalofaa kupigwa hela tu! So atafanya ukiritimba wowote ule ilimradi zimfikie!.
sometimes it's better to not show if you have something, others act crazily when they know you have something.
Iife is now zigzag nipigiwe wimbo wa tajiri tafadhari...πNi kweli kabisa,kuna binadamu wa ajabu sana,Yuko radhi kusema hata mama yake mzazi kameza shoka Ili apate pesa za bwelele...na hii tabia sio wanawake tu hata Kuna baadhi ya wanaume wanatumia sana drama akijua mwanamke wake ana uwezo kiasi,utasikia"Hani,Kuna mzigo niliagiza bandarini nimekwama laki Tano,Niazime niutoe then nitakurudishia,kumbe hamna Cha mzigo wala Cha parcel..
"Tajiri we ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata"ngrii ngrii hallow ππππIife is now zigzag nipigiwe wimbo wa tajiri tafadhari...π
nasikia dj akikwangua halafu kwa mbali nasikia "we selemani we sele..."π"Tajiri we ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata"ngrii ngrii hallow ππππ