Hii tabia ya watu kuja na thread "Leo ni siku ya mwisho kutumia JF"

Kama mtu alipojiunga alibisha hodi kwanini leo asiage?
Mfano: mimi nilibisha hodi nikakaribishwa kiitifaki siku naondoka natakiwa kuaga.

Tusiwe negative kila siku. Wengine hata hizo kick mnazodai wanazitafuta kwa kuaga hata hazipo vichwani.
Ulipo bosha hodi, uliingia.
Hapa issue ni mtu anapo aga alafu haondoki....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ulipo bosha hodi, uliingia.
Hapa issue ni mtu anapo aga alafu haondoki....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mgeni anaweza kuaga kufika stand basi limemwacha. Anarudi. Kwani dhambi?
 
Sasa nibora akiachwa na basi, arejee na bango tena....[emoji2] [emoji2]
Halafu wengi wanaoaga wanakuwa hawajadecide moja kwa moja. Kuweka uzi mara nyingine ni kuseek ushauri wa kujiengua au kutokujiengua sema wanashindwa kusema moja kwa moja.

Comments na michango ya wanajf zinawafanya pia wabadilishe maamuzi mkuu.
 
Halafu wengi wanaoaga wanakuwa hawajadecide moja kwa moja. Kuweka uzi mara nyingine ni kuseek ushauri wa kujiengua au kutokujiengua sema wanashindwa kusema moja kwa moja.

Comments na michango ya wanajf zinawafanya pia wabadilishe maamuzi mkuu.
Sawa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] hivi unazijua hatari za kulala uchi,? BTW you will miss ME when I go[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nani alisema hvyo
Pleaaas!!
 
Sio lazima ututangazie. Potea tu kimya kimya kama ulivyoingia.
Kiherehere sometimes.. Si unajua hatufanani?
Naamini ushawahi kuona mitaani mtu kanunua kamtumba toka Japan lakini wiki na zaidi bado anatembea na yale maandishi na mastika bila kusafisha...
 
Yaani wangine wanatishia kuondoka jf utafikiri wao ndio wameshika hatma yetu hapa jf. Hunipi bando wala wewe sio founder wa jf.

U
 

Sheria za jf zinasemaje kuhusu maongezi ya pm?!
 
Ooh waaaoo sijawahi ona kitu hicho,itakua mara ya kwanza kushuhudia maajabu hayo
Hahaha wewe numby wewe

mimi sina naniliu maana wale manesi wenye vyeti vya stationey waliikata pakabaki flat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…