Hii tafsiri mbaya sana kwa kiongozi wa nchi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
images - 2022-10-30T191308.942.jpeg

Hali ngumu
Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki Maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa Maduka yake kufanya Biashara

Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni Miezi 12 ya kujaribu kuuza Maduka yake kwenye Nchi za Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa ndani bila mafanikio

Imesema kwa sasa wako kwenye hatua za haraka kuanza uuzaji wa jumla wa Bidhaa zilizopo katika Maduka yote kwenye Nchi hizo
 
View attachment 2403192

Inakuwaje tafsiri mbaya kwa kiongozi na wakati umeandika kuwa wanafunga maduka yako katika nchi nyingi tu!!?? Au huyo kiongozi unayemkusudia ni wa nchi zote hizo!?
 
Back
Top Bottom