Hii thinking ni ya Japan au Old Europe na USA lakini sio Afrika

Kumbe hujielewi, kukwambia ututajie mdhamini wa Royal Tour ndio chuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ok basi, wewe baki na mahaba yako🫣🫣
Mdhamini ni wafanyabiashara wakubwa, hii nchi kwa hizi imani za kila mwenye pesa ni mwizi tutachelewa sana.

JPM aliwaongelea vibaya matajiri akiwa majukwaani lakini akishuka hapo anamtuma Dotto James akae na viongozi wa nchi wahisani ili awapige mizinga.
 
Hivi hayo yote hayawezi kutokea hadi upoteze watu kwa sababu tu wana mawazo tofuati na yako! Wewe nani hadi ujione wewe tu ndiye mwenye mawazo sahihi na hutaki kukosolewa na yeyote.
Mbona Jk kwa kipindi chake mauwaji yalikuwepo watanzania mna ugonjwa wa kusau umesahau waliouwawa kipindi Jk mgomo wa madaktari mfano ulimboka, kipindi cha katiba mpya kuna mtu alichinjwa kama kuku hadi leo hakuna aliyekamatwa, mwandi wa habari iringa, mawazo wa chadema, police kuuwa rai kwenye mikutano ya wapinzani mfano moro, arusha na mbeya

Kuachia hiyo, migogoro mingi kati ya wawekezaji na wananchi, musoma kwenye migodi ya madini, mbeya kwenye mashamba ya mpunga, machinga kuandana kila kona ya nchi n.k JPM alijitahidi kutuliza vyote hivi

JPM alikuwa na mapungufu ila alijitahidi kubalance mambo tabaka la chini na kati tuliishi kwa raha huku tukiona future yetu ikiwa bora zaidi
 
Dr Mvungi aliuawa nyumbani kwake! Hawa wanataka tuamini JPM ndio alikuwa katili wakati kila awamu watu wengi walipotea.
 
... wazo la umeme wa Stieglers Gorge lipo hata kabla ya uhuru. Mwalimu alisha anza kuliweka kwenye bajeti kwa kuanzisha RUBADA.
Unaweza kuwa na chuki hata ukatamani kuhamia Burundi ila tuandike hivi...

Hakuna anayepinga wala kukataa kuwa Baba wa Taifa Mwl JK Nyerere ndiye chimbukobla mradi huo mkubwa Afrika Mashariki.

Point ni uthubutu, hatutaki mambo ya chuki hapa (ni utoto uzeeni) issue ya RUBADA tunaifaham sana ila usitake tufukue palipofukiwa na kusahaurika!.

Labda kwa nini baada ya wazo hilo JKN hakuweza kutekeleza au hata waliofuata baada ya yeye walipita kushoto?.

CCM kuna ilani na siyo kwa ajili ya wanaccm bali kwa ajili ya taifa, JPM alitekeleza ilani ya chama kwa ajili ya taifa na ndiyo maana tunasema amethubutu hasa not porojo na kukaa kwenye podium kutoa tabasam mbele ya 📸!.
 
Dr Mvungi aliuawa nyumbani kwake! Hawa wanataka tuamini JPM ndio alikuwa katili wakati kila awamu watu wengi walipotea.
Watoto hawaelewi kitu hawa wamezaliwa mwisho wadunia (2000's) wanaongozwa na mihemko, baba na mama zao ni walamba asali
Hawajui historia kazi yao nikupiga na kutetea kila kitu bila point ya msingi
 
Unaweza kuwa na chuki hata ukatamani kuhamia Burundi ila tuandike hivi...

Hakuna anayepinga wala kukataa kuwa Baba wa Taifa Mwl JK Nyerere ndiye chimbukobla mradi huo mkubwa Afrika Mashariki.

Point ni uthubutu, hatutaki mambo ya chuki hapa (ni utoto uzeeni) issue ya RUBADA tunaifaham sana ila usitake tufukue palipofukiwa na kusahaurika!.

Labda kwa nini baada ya wazo hilo JKN hakuweza kutekeleza au hata waliofuata baada ya yeye walipita kushoto?.

CCM kuna ilani na siyo kwa ajili ya wanaccm bali kwa ajili ya taifa, JPM alitekeleza ilani ya chama kwa ajili ya taifa na ndiyo maana tunasema amethubutu hasa not porojo na kukaa kwenye podium kutoa tabasam mbele ya 📸!.
Nyie vipimbi vya juzi hamkumbuki kuwa katika historia zenu Mwalimu alikuwa na kazi kubwa ya ukombozi kusini mwa Afrika,
Wala hamkumbuki kuwa uchumi wetu ulikuwa Liberation Economy, na Mwalimu asingeweza kufanya yote kwa wakati mmoja, pamoja na kauchumi ketu kadogo ka wakati huo.
Vile vile hamjui kuwa power supply is demand driven, huwezi kujenga mitambo mikubwa wakati huo, wakati hakuna demand ya kutosha.
Wakati huo huo kuna mambo ya kimsingi ya kutatua katika afya , elimu na kujenga uchumi wa viwanda vitakavyo chochea demand ya nishati.

Lakini la maana zaidi mnasahau kuwa Mwalimu ndiye aliasisi kuanzishwa kwa TANESCO, 1964 kutoka kampuni za kikoloni zilizokuwepo.
Mitambo ya Kidatu 200MW project iliasisiwa wakati wa Mwalimu.

Hivyo kujipiga piga vifua wakati hujui unatoka wapi , sana sana unadhihirisha upimbi tu.
 
Ameiba fedha nyingi mno kwa mgongo wa miradi.
Ukweli ndiyo huo mpaka akanuia kujenga Chuo Kikuu Chato kijijini kwao.
Angejenga huko newala ingekuwa sawa siyo?
Afadhali angejenga Geita makao makuu ya Mkoa au Mwanza makao makuu ya Kanda ya Ziwa hapo angeonekana mzalendo siyo kutumia kodi za Watanzania kunufaisha kwao huku sehemu nyingine zikisahauliwa.
 
Na Mwalimu ndiye aliyejenga Viwanda vingi Tanzania kuliko Rais yoyote nchini mwetu.
Nyie vipimbi vya juzi hamkumbuki kuwa katika historia zenu Mwalimu alikuwa na kazi kubwa ya ukombozi kusini mwa Afrika,
Wala hamkumbuki kuwa uchumi wetu ulikuwa Liberation Economy, na Mwalimu asingeweza kufanya yote kwa wakati mmoja, pamoja na kauchumi ketu kadogo ka wakati huo.
Vile vile hamjui kuwa power supply is demand driven, huwezi kujenga mitambo mikubwa wakati huo, wakati hakuna demand ya kutosha.
Wakati huo huo kuna mambo ya kimsingi ya kutatua katika afya , elimu na kujenga uchumi wa viwanda vitakavyo chochea demand ya nishati.

Lakini la maana zaidi mnasahau kuwa Mwalimu ndiye aliasisi kuanzishwa kwa TANESCO, 1964 kutoka kampuni za kikoloni zilizokuwepo.
Mitambo ya Kidatu 200MW project iliasisiwa wakati wa Mwalimu.

Hivyo kujipiga piga vifua wakati hujui unatoka wapi , sana sana unadhihirisha upimbi tu
 
kwangu naona kitu ambacho kilimbeba JPM angalau ni awamu iliyowaamini zaidi vijana kuliko zote na ikawashirikisha kwenye maamuzi makubwa na akawa tayari kuwatetea hata pale walipokosea akisema wataelewa siku zijazo.
hivyo angalau alizingukwa na watu wengi wanaotumia akili kuliko hekima na ndomaana walikosea pia lakini walipopatia walipatia kweli kweli.
binafsi nitashangaa kama tutaendelea kuendelea na watawala waliozaliwa miaka ya kati ya 40-59 tena muda wao umeisha sasa watuachie nchi yetu. wanahitajika kufa ili maeneo watakayozikwa tustawishe miti kwa ajili ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira ambao sehemu kubwa wamesababisha wao kwa rushwa na kujipendekeza kwa wale waliotutawala.https://fb.watch/kZrW2IQhYE/
 
Aliwaamini vijana,Vibaka,wafoji vyeti,waongo na matapeli.
 
msafara wa mamba kenge nao wamo shida ikaja kenge walikuwa wengi zaidi na hii inatokana na mazingira waliolelewa.
unategemea nini kwa mtoto aliyesomeshwa kwa hela za kupiga (japo sio wote)na maelekezo amepewa ukizubaa shauri lako
 
Sikia wewe pimbi maji.
Unaacha topic husika unaandika utopolo sijui Mwl. Nyerere alikuwa na kazi kubwa, mara demand nk.

Ongelea topic hapa usilete ujanja ujanja ukadhani JF upo mwenyewe, ohoooo!.

Nyie vipimbi vya juzi hamkumbuki kuwa katika historia zenu Mwalimu alikuwa na kazi kubwa ya ukombozi kusini mwa Afrika,
Wala hamkumbuki kuwa uchumi wetu ulikuwa Liberation Economy, na Mwalimu asingeweza kufanya yote kwa wakati mmoja, pamoja na kauchumi ketu kadogo ka wakati huo.
Vile vile hamjui kuwa power supply is demand driven, huwezi kujenga mitambo mikubwa wakati huo, wakati hakuna demand ya kutosha.
Wakati huo huo kuna mambo ya kimsingi ya kutatua katika afya , elimu na kujenga uchumi wa viwanda vitakavyo chochea demand ya nishati.

Lakini la maana zaidi mnasahau kuwa Mwalimu ndiye aliasisi kuanzishwa kwa TANESCO, 1964 kutoka kampuni za kikoloni zilizokuwepo.
Mitambo ya Kidatu 200MW project iliasisiwa wakati wa Mwalimu.

Hivyo kujipiga piga vifua wakati hujui unatoka wapi , sana sana unadhihirisha upimbi tu.
 
Sikia wewe pimbi maji.
Unaacha topic husika unaandika utopolo sijui Mwl. Nyerere alikuwa na kazi kubwa, mara demand nk.

Ongelea topic hapa usilete ujanja ujanja ukadhani JF upo mwenyewe, ohoooo!.
Kama hujui ulikotoka kanye ulale!
 
Back
Top Bottom