Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
We mwehu nini, Yanga kapeleka malalamiko kamati ya sheria na hadhi za wachezaji hivi karibuni ata siku 4 azijapita kabla ya hapo walishindwa nini kumtambulisha?Unajielewa kweli? Yanga walishaweka pingamizi na sasa Ishu ipo kwenye baraza la usuluhishi TFF, unaelewa maana yake kisheria?
Kwani ukiwa huru maana yake ni lazima ucheze?Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa,
Kwani dirisha la usajili limeshafungwa?Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
Yanga wana roho mbaya sana za kishetaniUkitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.
Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Kumtambulisha mchezaji si unamtambulisha muda wowote ndani ya dirisha sasa kuna haraka gani na umeshasema bado siku 10We mwehu nini, Yanga kapeleka malalamiko kamati ya sheria na hadhi za wachezaji hivi karibuni ata siku 4 azijapita kabla ya hapo walishindwa nini kumtambulisha?
Umetoa wapi kiherehere cha kuandika post wakati mwenyewe unakiri bado kuna siku 10?Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei totoUmetoa wapi kiherehere cha kuandika post wakati mwenyewe unakiri bado kuna siku 10?
Mbona huulizi ni kwanini hao Yanga walisema watatangaza usajili wa kutikisa nchi halafu wakaishia kumleta Yahaya?
Simba wameshatolewa. Unataka tujadili timu isiyo kwenye mashindano?vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei toto
Yan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.
Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Wewe umemleta nani? Ngoja tusubili huo utambulisho wa feisal mtausubili mpaka kiamaUmetoa wapi kiherehere cha kuandika post wakati mwenyewe unakiri bado kuna siku 10?
Mbona huulizi ni kwanini hao Yanga walisema watatangaza usajili wa kutikisa nchi halafu wakaishia kumleta Yahaya?
Okay,,mtasubili utambulisho wake mpaka mwisho wa dunia🤣🤣Kumtambulisha mchezaji si unamtambulisha muda wowote ndani ya dirisha sasa kuna haraka gani na umeshasema bado siku 10
Mbumbumbu mikia bin makolo fc wameingia Mtumbwi wa vibwengo tuliwajaza upepo kuwa eti ukichukua kombe la mapinduzi unakosa makombe yote bara , wakajaa!.wakaleta vibonde zenji!!vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei toto
Yanga tunapiga mpira Kila mchezaji bongo anaota kuja Yanga! Nani alijua Mudathir hesabu zake ni Yanga?Simba hawanaga haya mambo, ikitokea mchezaji amesaini Leo na kesho akataka kuvunja mkataba ruksa, hii ndio timu ya kimataifa sio unachezea vilabu vya waganga wa kienyeji ukipigwa muhuri hutoki.
Hata taratibu zikifuatwa bado Yanga watakung'ang'aniaYan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?
Kama utaratibu unafuatwa shida itoke wapi? Huu uswahili badi tu hamjauacha