Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibonde wamekutana, timu imekuja jana haijafanya hata mazoezi inawatoa kamasi namna hii. Simba jengeni timu hapa hakuna kikosi.F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
Alisikika topolo moja lenye hasira kali ya kutobolewa likisema huku limekunja sura.Vibonde wamekutana, timu imekuja jana haijafanya hata mazoezi inawatoa kamasi namna hii. Simba jengeni timu hapa hakuna kikosi.
Yanga mchezaji analipwa zaidi ya milioni 15 kwa mwezi eti hana nishati ya dk 90 ama 120, cha ajabu anayelipwa milioni moja kwa mwezi toka timu nyingine anaweza akawa zidi kwa nishati wachezaji wa yangaF.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
Al Hilal wanaijua sana SimbaBasi umeona tofauti na uhalisia, Al Hilal angecheza na Simba, Simba wangefungwa sio chini ya 4. Bravo hawana maamuzi sahihi golini tofauti na Al Hilal wao pasi tatu wapo golini kwako na wana kasi na maarifa mengi golini kwa mpinzani.
Simba tokea kipindi cha pili kianze wamekata pumzi na wamefanya makosa mengi sana ambayo Al Hilal hakuachi kamwe
Kocha mpya wa yanga nikweli hawafahamu vizuri wachezaji wa yanga, meneja wa timu nadhani ni mzembeI fanyeni analysis timu yenu shauri yenu, Yanga upepo ila sio wabovu, half ya pili nilitegemea msukumize mashabulizi ila ikawa vice versa, naona still bado mnakata moto.
Huu ushauri ungeupeleka kwenu huko mkuu simba hatuitaji ushauri wenu utopolo.I fanyeni analysis timu yenu shauri yenu, Yanga upepo ila sio wabovu, half ya pili nilitegemea msukumize mashabulizi ila ikawa vice versa, naona still bado mnakata moto.
nyuma mwiko wangekula 3:0F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
uzi wakujipooza maumivu ya janaF.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
Mkurugenzi wa ufundi mpya, kocha mpya na makocha wanafalsafa zao mara nyingi hawapendi kuingiliwa. Tukubali tu Yanga viongozi walikosea kumtoa Gamondi. Jana ile Sub ya Abuya na Max Gamondi hasingeifanya, sababu timu ilipoteza balance,wachezaji wote walikuwa wanacheza karibu na box la mpinzani matokeo yake bonge la gap limeachwa ikapigwa kaunta imo,sababu kulikuwa hamna kiungo mkabaji.Kocha hawafahamu wachezaji meneja wa timu nadhani ni mzembe
Swali fikirishi je mkurugenzi wa ufundi aliyesajiliwa hivi karibuni toka KCMC, hana mchango kwasasa kwa maana yeye atakuwa anawafahamu wachezaji wa.yanga
Hata kwa tabora united ni upepo ule?I fanyeni analysis timu yenu shauri yenu, Yanga upepo ila sio wabovu, half ya pili nilitegemea msukumize mashabulizi ila ikawa vice versa, naona still bado mnakata moto.
Kwa hiyo ww ndiye mwenye haki ya kutoa maoni kwa Yanga? Mnakata moto half ya pili huo ndio ukweli, shukuruni tu mmeshinda ila ilikuwa papatu papatu.Huu ushauri ungeupeleka kwenu huko mkuu simba hatuitaji ushauri wenu utopolo.
Hata mimi simulaumu kocha ila viongozi walichemka japo nifunzo kwa yanga kuacha kuokoteza wavhezaji hivi Baleke alisajiliwa wanini kama hachezi, mchezaji kama hachezi haina maanaMkurugenzi wa ufundi mpya, kocha mpya na makocha wanafalsafa zao mara nyingi hawapendi kuingiliwa. Tukubali tu Yanga viongozi walikosea kumtoa Gamondi. Jana ile Sub ya Abuya na Max Gamondi hasingeifanya, sababu timu ilipoteza balance,wachezaji wote walikuwa wanacheza karibu na box la mpinzani matokeo yake bonge la gap limeachwa ikapigwa kaunta imo,sababu kulikuwa hamna kiungo mkabaji.
Mimi kocha mpya simlaumu kwani now ni mda wake wa kuweka falsafa zake ,sasa hapo inahitaji uvumilivu hasa kwa mashabiki maana wachezaji wanaweza wakawa waelewa kwa haraka ikawa nzuri kwetu au ikiwa watakuwa wazito basi mwendo utakua huu huu.
mimi ni simba lakini uko sahihi mkuu, al hilal ni another level, simba wajipange sana huko ugenini!!Basi umeona tofauti na uhalisia, Al Hilal angecheza na Simba, Simba wangefungwa sio chini ya 4. Bravo hawana maamuzi sahihi golini tofauti na Al Hilal wao pasi tatu wapo golini kwako na wana kasi na maarifa mengi golini kwa mpinzani.
Simba tokea kipindi cha pili kianze wamekata pumzi na wamefanya makosa mengi sana ambayo Al Hilal hakuachi kamwe
Kwa hiyo ww ndiye mwenye haki ya kutoa maoni kwa Yanga? Mnakata moto half ya pili huo ndio ukweli, shukuruni tu mmeshinda ila ilikuwa papatu papatu.
Sometimes mpira wetu tunakomoana tu ili mradi, Baleke na Musonda watupishe watafute wachezaji wengine.Hata mimi simulaumu kocha ika viongozi walichemka ila nifunzo kwa yanga kuacha kuokoteza wavhezaji hivi Baleke alisajiliwa wanini kama hachezi, mchezaji kama hachezi haina maana