Game plan Al Hilal ni kushambulia kwa kushtukiza utasemaje, viungo walicheza vibaya. Ball position vipindi vyote zaidi ya 60+% unasemaje viungo walicha vibaya?
Kwanza Yanga na Mamelodi Aziz alikuwa anatokea kwenye matukio machache sana ile iliyokula nguzo na assist ya Musonda aliyo kosa, mechi zote ball position 70% kwa 20% halafu useme alicheza vizuri,mechi ile wakupewa sifa ni Bacca,Job,Mkude,Max na Muda. Hata ile mechi tulikuwa na bahati ,mimi ile mechi ni liitizamia nyumbani sikuenda kwenye vibanda umiza.Wewe mechi tulikuwa tunaomba mechi iishe halafu unasema tulicheza vizuri.
Kwangu Yanga alicheza vizuri mechi ya jana, sasa sijajua vibaya yako ww unaingalia vipi,ila sub ndio ziliimaliza mechi mapema na ndio maana siwezi mlaumu kocha mpya.Mimi ukisoma comment zangu zote ninao walaumu ni Viongozi kumuondoa Gamondi,sababu itachukua muda kocha kuwaelewa wachezaji na wachezaji kuadapt mifumo ya kocha,labda iwe tofauti.