Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hata prince Dube naona hamna kitu, dhana ya mchezaji wa siku haifai kwenye mashindano kama haya labda ndondo cupSometimes mpira wetu tunakomoana tu ili mradi, Baleke na Musonda watupishe watafute wachezaji wengine.
Kunawaka kwani mechi zimeisha? Kufungwa nyumbani Yanga ndio ya kwanza,ww si ulikula tatu hapa na Raja Casablanca tatu na ukafuzu......ukapigwa na Galaxy hapa tatu au umesahau. Sina ushabiki wa mihemko nimefungwa nimekubali na jipanga kwa mechi ijayo.Kwako kunawaka moto unaenda kutoa msaada nyumba ya pili? Anza kwanza kuuzima moto kwako ndio uende kwa jirani.
Mimi Dube nina imani nae, Ila Musonda yule mkataba wake unaishia dirisha dogo na huyo Baleke na sikia mkataba wake miezi sita nae dirisha dogo mkataba wake unaisha,so wakiachwa hakutakuwa na issue.Hata prince Dube naona hamna kitu
Tunachangia mawao ambayo labda yanaweza kuleta tija hapo baadaeKunawaka kwani mechi zimeisha? Kufungwa nyumbani Yanga ndio ya kwanza,ww si ulikula tatu hapa na Raja Casablanca tatu na ukafuzu......ukapigwa na Galaxy hapa tatu au umesahau. Sina ushabiki wa mihemko nimefungwa nimekubali na jipanga kwa mechi ijayo.
Ni busara wawe wanatafuta wachezaji wenye viwango swali fikiri kwanini msonda akiwa timu ya taifa anafunga na anakuwa talk of the NationsMimi Dube nina imani nae, Ila Musonda yule mkataba wake unaishia dirisha dogo na huyo Baleke na sikia mkataba wake miezi sita nae dirisha dogo mkataba wake unaisha,so wakiachwa hakutakuwa na issue.
Mkuu kwa mpira mliocheza Jana hakuna matumaini ya nyie kuendelea hata ukiangalia mechi zenu za nyumba mlizopigwa mna hali ngumu mno mshapoteana timu nzima imepoteza dira, timu inaweza kupoteza mchezo lakini ukaona kabisa imepambana na inaweza kufanya maajabu second mechi lakini sio kwa yanga yenu, itawachukua mda kua Sawa.Kunawaka kwani mechi zimeisha? Kufungwa nyumbani Yanga ndio ya kwanza,ww si ulikula tatu hapa na Raja Casablanca tatu na ukafuzu......ukapigwa na Galaxy hapa tatu au umesahau. Sina ushabiki wa mihemko nimefungwa nimekubali na jipanga kwa mechi ijayo.
Yanga wamepoteza muelekeoMkuu kwa mpira mliocheza Jana hakuna matumaini ya nyie kuendelea hata ukiangalia mechi zenu za nyumba mlizopigwa mna hali ngumu mno mshapoteana timu nzima imepoteza dira, timu inaweza kupoteza mchezo lakini ukaona kabisa imepambana na inaweza kufanya maajabu second mechi lakini sio kwa yanga yenu, itawachukua mda kua Sawa.
Wacha weee kumbee,,hivi awa majimaji wa Angola unawaweka level Moja na Al hilal? Bangi ni mbaya mdogo wangu ziache sio nzuri,,kwa nafasi walizopata Hawa bravos wangekuwa Al hilal si ungekuwa ushaenda kulala saizi mtani,,F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
Mpira Yanga walicheza vizuri sana ila tatizo ndio lile la tokea uanze msimu huu ni la umaliziaji. Dube kapata nafasi nyingi kashindwa kuzitumia, Aziz Ki kapata nafasi ya kupiga free header badala ya kupiga moja kwa moja kapiga kichwa cha kudundisha halafu kidogo kipa akaucheza. Mbali na hilo golikipa wa Al Hilal kacheza michomo mingi iliyokuwa ya hatari na pia kuna kichwa cha Musonda kikagonga mwamba. Kimpira Yanga walicheza vizuri ila nadhani kosa kubwa lililopo ni kocha bado hajawajia wachezaji hivyo anashindwa kutengeneza uwiano sahihi wa mzani katika moment ya kushambulia na kushambuliwa. Uwezekano wa Yanga kushinda away upo kwasababu sio mara ya kwanza kushinda away katika mazingira magumu ya mechi. Ndio kwanza mechi moja na ukizingatia aliyejuu ya Yanga wana point moja moja pekee. Bado nafasi ipoMkuu kwa mpira mliocheza Jana hakuna matumaini ya nyie kuendelea hata ukiangalia mechi zenu za nyumba mlizopigwa mna hali ngumu mno mshapoteana timu nzima imepoteza dira, timu inaweza kupoteza mchezo lakini ukaona kabisa imepambana na inaweza kufanya maajabu second mechi lakini sio kwa yanga yenu, itawachukua mda kua Sawa.
Mkuu kwani Jana Al hilal kacheza mpira hani wa ajabu? Katengeneza nafasi zipi? Hilal ni timu ya kawaida sana bora hawa bravo mara mia, hilal Jana kawaadhibu kwa makosa ya kijinga mliokua mnafanya mfano goli la kwanza si uzembe wa baka kabisa anaanguka kama ana degedege goli la pili vile vile uzembe wenu mnakimbiza mwizi mnaacha mlango wazi mnategemea nini? Kiufupi timu yenu ni mbovu imepoteana ndio maana Jana Al hilal kaonekana bora kwa sababu kacheza na timu iliyopoteza muelekeo. OVER.Wacha weee kumbee,,hivi awa majimaji wa Angola unawaweka level Moja na Al hilal? Bangi ni mbaya mdogo wangu ziache sio nzuri,,kwa nafasi walizopata Hawa bravos wangekuwa Al hilal si ungekuwa ushaenda kulala saizi mtani,,
Wewe ndio mshabiki wa yanga pekee uliyesema Jana mlicheza vizuri Tz nzima.Mpira Yanga walicheza vizuri sana ila tatizo ndio lile la tokea uanze msimu huu ni la umaliziaji. Dube kapata nafasi nyingi kashindwa kuzitumia, Aziz Ki kapata nafasi ya kupiga free header badala ya kupiga moja kwa moja kapiga kichwa cha kudundisha halafu kidogo kipa akaucheza. Mbali na hilo golikipa wa Al Hilal kacheza michomo mingi iliyokuwa ya hatari na pia kuna kichwa cha Musonda kikagonga mwamba. Kimpira Yanga walicheza vizuri ila nadhani kosa kubwa lililopo ni kocha bado hajawajia wachezaji hivyo anashindwa kutengeneza uwiano sahihi wa mzani katika moment ya kushambulia na kushambuliwa. Uwezekano wa Yanga kushinda away upo kwasababu sio mara ya kwanza kushinda away katika mazingira magumu ya mechi. Ndio kwanza mechi moja na ukizingatia aliyejuu ya Yanga wana point moja moja pekee. Bado nafasi ipoView attachment 3163473
Halafu wanahasira eti walitaka Simba wawafunge Angola goli nyingi wao Al Hilal wamemfunga ngapi?πππMaskini yanga wana hali ngumu sana kwasasa
Bravo huwezi kulingalisha na Al Hilal kwa angle nyingi sanaMkuu kwani Jana Al hilal kacheza mpira hani wa ajabu? Katengeneza nafasi zipi? Hilal ni timu ya kawaida sana bora hawa bravo mara mia, hilal Jana kawaadhibu kwa makosa ya kijinga mliokua mnafanya mfano goli la kwanza si uzembe wa baka kabisa anaanguka kama ana degedege goli la pili vile vile uzembe wenu mnakimbiza mwizi mnaacha mlango wazi mnategemea nini? Kiufupi timu yenu ni mbovu imepoteana ndio maana Jana Al hilal kaonekana bora kwa sababu kacheza na timu iliyopoteza muelekeo. OVER.
Sasa mnfungwa na timu ambayo inaishi ukimbizini mnakigawa tu kwa kila mtuWacha weee kumbee,,hivi awa majimaji wa Angola unawaweka level Moja na Al hilal? Bangi ni mbaya mdogo wangu ziache sio nzuri,,kwa nafasi walizopata Hawa bravos wangekuwa Al hilal si ungekuwa ushaenda kulala saizi mtani,,
Shida kubwa baada ya kutolewa bikra na azam mnakigawa warina asali mkatoa mpaka kwa watu waishio ukumbizini kumbafu nyieMpira Yanga walicheza vizuri sana ila tatizo ndio lile la tokea uanze msimu huu ni la umaliziaji. Dube kapata nafasi nyingi kashindwa kuzitumia, Aziz Ki kapata nafasi ya kupiga free header badala ya kupiga moja kwa moja kapiga kichwa cha kudundisha halafu kidogo kipa akaucheza. Mbali na hilo golikipa wa Al Hilal kacheza michomo mingi iliyokuwa ya hatari na pia kuna kichwa cha Musonda kikagonga mwamba. Kimpira Yanga walicheza vizuri ila nadhani kosa kubwa lililopo ni kocha bado hajawajia wachezaji hivyo anashindwa kutengeneza uwiano sahihi wa mzani katika moment ya kushambulia na kushambuliwa. Uwezekano wa Yanga kushinda away upo kwasababu sio mara ya kwanza kushinda away katika mazingira magumu ya mechi. Ndio kwanza mechi moja na ukizingatia aliyejuu ya Yanga wana point moja moja pekee. Bado nafasi ipoView attachment 3163473
Na ndio maana nikamalizia na takwimu sikutaka kuongea maneno matupu, kwenye mpira kuna matokeo halafu kuna performance. Kwenye performance jana Yanga ilikuwa vizur sana ila wameshindwa kupata matokeo kwa ujinga wa wachezaji wenyewe. Zile nafasi zingekuwa converted kuwa magoli hakuna mtu angelalamikaWewe ndio mshabiki wa yanga pekee uliyesema Jana mlicheza vizuri Tz nzima.
Uyo awezi kukuelewa mpaka wakigongwa ndio atakuelewa kwasasa unatwanga maji kwenye kinu usipoteze muda wako kumjibu uyoBravo huwezi kulingalisha na Al Hilal kwa angle nyingi sana
1) thamani ya kikosi cha Al Hilal kipo juu sana kuliko Bravo
2) uwezo wa kipesa Al Hilal upo juu kuliko Bravo
3) uwezo wa kikosi cha Al Hilal upo juu na ni bora kuliko Bravo angalia kocha walionao na profile ya wachezaji walionao
Kati ya Simba na Yanga ni timu ipi imefanya makosa mengi? Simba leo imefanya makosa mengi sana ila Bravo wameshindwa wenyewe kumaliza mechi ila ingekuwa Al Hilal kwa makosa waliyofanya Simba leo tungeongea mengine.
Unasema Yanga Mbovu wakati timu yako imeishia kumpongeza Camara kwa kazi nyingi za ziadi alizofanya ina maana mnamakosa mengi sana yamefanyika.
Jana Al Hilal wameonekana wa kawaida kutokana na uchezaji wa Yanga uliwanyima uhuru wa kutawala mchezo. Umesahau kama hawa Al Hilal mlitoka nao sare wakati wao wako pungufu na huku wachezaji wao zaidi ya 10 wakiwa kwenye mataifa yao?