Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

Al Hilal mechi yetu ya kirafiki walikaza utafikiri tunacheza kitu kitu.

Waliopo sawazisha wakawa wanapaki bus.

Na moment ambayo ilinishangaza ni pale ambapo walipoanza kujiangusha ili kupoteza muda kuhofia watafungwa lapili.

Kumbuka hiyo ni mechi ya kirafiki tu...

Lakini nyie wamechezea soft sana, na ndio maana imekuwa rahisi ku post ile tweet
 
Reactions: Tui
Sasa nyie leo mmecheza mpira gani? Kama sio bahati? Kwenye mpira kuna vitu viwili hasa kwenye ushindi,unweza ukashinda sababu ya kuwa unajua na unaweza ukashinda sababu unabahati.

Hata kwenye kufungwa unafungwa sio sababu hujui ila hauna bahati.Hawa Bravo leo hawakuwa na bahat,ila kipindi cha pili walicheza mpira mzuri kuliko nyie na mlikata moto.
 
Kwa reference gani?Lini Al Hilal ameshaifunga Simba hata kwenye mechi y kirafiki?
Al Hilal wamewafunga mdomo na kelele zenu za kulipa kisasi.Kufungwa nyumbani na kelele zote ni aibu.Au sindano zimeshtukiwa?
 
Mpira sio tatu mzuka utegemee bahati.Walete Mbalizi Rovers wawe na bahati wacheze na Liverpool utegemee bahati?Wacha kuukosea mpira heshima.
 
Wacha weee kumbee,,hivi awa majimaji wa Angola unawaweka level Moja na Al hilal? Bangi ni mbaya mdogo wangu ziache sio nzuri,,kwa nafasi walizopata Hawa bravos wangekuwa Al hilal si ungekuwa ushaenda kulala saizi mtani,,
Naona mmekuwa na heshima kwa Al Hilal.Hao Al Hilal lini wameifunga Simba hata mechi ya kirafiki?Wacheni kujificha kwenye kivuli cha Al Hilal.
 
Mbona hujasema kuwa nikumbuke kuwa walikuwa pungufu? Na kwanini hukuweka angalizo kuwa kuna wachezaji wao wengi walikuwa wameitwa national team?
 
Mbona hujasema kuwa nikumbuke kuwa walikuwa pungufu? Na kwanini hukuweka angalizo kuwa kuna wachezaji wao wengi walikuwa wameitwa national team?
Walikuja hapa kwenye mashindano maalum yaliyoandaliwa na Simba wakafungwa goli 4.Kama una kumbukumbu mechi ambayo Benard Morrison aliweka mpira katikati ya miguu akijifanya ana busha baada ya kuweka kambani goli 2.
So Al Hilal hajawahi kumsumbua Simba.Ni kiboko yenu.
 
Al Hilal unayoisemea wewe ni hii ya Ibenge?
 


Mpira sio bahati mkuu, kukosa clear chance usigeuze kua nikukosa bahati bali ni uzembe na udhaifu wa timu. Kama ni bahati timu zisingekua zinaweka billions of shillings kwenye bajeti ya kusajili wachezaji bora despite wangekua wanangoja bahati iwakute.
 
Mpira sio tatu mzuka utegemee bahati.Walete Mbalizi Rovers wawe na bahati wacheze na Liverpool utegemee bahati?Wacha kuukosea mpira heshima.
Wewe mpira hujui,kama ukipata muda kaangalie Euro alilo chukua Ugiriki,alizipiga timu mkubwa na fainali akacheza na Ureno tena Ureno alikuwa muandaaji,Ureno ikiwa na Ronaldo pamoja na Figo wote wa moto ila Ugiriki akashinda na ugiriki kuanzia Robo mpaka fainali alikuwa anashinda kwa goli moja tuu. Ndio maana kwenye vibanda umiza ushindi wa goli moja tulikuwa tunauita Chaugiriki.

Kwenye mpira bahati ipo.
 
Huo ujinga wa wachezaji wa Jana waliokua wanafanya ndio poor performance yenyewe huwezi ukasema timu iliperfom vizuri wakati wachezaji walikua wanacheza upuuzi tuu.
 
Kwenye mpira bahati ipo sijaju kama uliangalia fainali ya Euro 2004 Ugiriki alikuwa bingwa, kwa ushindi wake wa goli moja moja baada ya hapo anaweka basi.

Nilikufunga moja bila goli la Morisson, vp sikuile ulizidiwa na Yanga? Sijui tunaelewana unaweza ukasajili na still ukapata matokeo mabovu,japo takwimu zako kiuchezaji nzuri.

Hamna club inayotegemea bahati, ila kwenye mpira bahati zipo na hata makocha wanakubali,kuna game zinaisha mnaona kabisa hamkustahili kushinda ila bahati ilikuwa upande wenu.
 
Huo ujinga wa wachezaji wa Jana waliokua wanafanya ndio poor performance yenyewe huwezi ukasema timu iliperfom vizuri wakati wachezaji walikua wanacheza upuuzi tuu.
Kwani wewe performance unaipima kwa nini? Hivi unajua Chelsea msimu uliopita pamoja na kushika nafasi za chini ila kitakwimu za kiuchezaji mpaka chance alizo create alikuwa anashika nafasi ya tatu.

Au ww performance unaitafsiri kwa magoli? Kama akili zenyewe ndio hizo,si shangai why Yanga walimtimua Gamondi na nyie mlimtimua Uchebe.
 
Kwanini useme ni bahati na sio ubora wa timu ya ugiriki na technical bench nzima?
 
Reactions: Tui
Kwanini useme ni bahati na sio ubora wa timu ya ugiriki na technical bench nzima?
Uzuri fainal niliitizama.Jamaa walikuwa na bahati hata Arsenal iliyo cheza fainali na Barca nayo walingia fainali kwa zali, sababu hakikuwa kikosi bora kama kile cha Unbeaten mechi 49.
 
Kwa hiyo Ugiriki alishinda kwa bahati?Ukishinda kwa goli 1 ndio bahati?Ugiriki alikuwa na uwezo wa kushinda kwa kucheza defensive minded game na kushinda kwa set pieces na counter attack.Na timu ile ya Ugiriki ndio timu ya karne kwa soka la Ugiriki.Jifunze mpira wacha kuwa shabiki wa vibanda umiza.
 
Kwanini useme ni bahati na sio ubora wa timu ya ugiriki na technical bench nzima?

Nilikufunga moja bila goli la Morisson, vp sikuile ulizidiwa na Yanga?

Mfano mwengine Arsenal iliyo cheza fainal na Barca nayo iliingia kibahati fainali. Kwenye mpira bahati zipo.
 
Mkuu umesema yanga alikua na performance nzuri ila hakupata matokeo hapo hapo ukasema wachezaji wamekosa matokeo kwa uzembe wao wenyewe, Sasa hapo good performance imetoka wapi? Nini maana ya good performance? Good performance inaendana na matokeo chanya basi izo nyingine unazoleta ni siasa tuu. Nyie ndio Faizafoxy hua anasema shuleni mlienda kusomea ujinga.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…