joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nakubali ila Ugiriki walikuwa na bahati.Halafu huwezi kusema eti Ureno walikuwa hawajui sababu walifungwa? Ndicho ninacho bishana na jamaa.Kwa hiyo Ugiriki alishinda kwa bahati?Ukishinda kwa goli 1 ndio bahati?Ugiriki alikuwa na uwezo wa kushinda kwa kucheza defensive minded game na kushinda kwa set pieces na counter attack.Na timu ile ya Ugiriki ndio timu ya karne kwa soka la Ugiriki.Jifunze mpira wacha kuwa shabiki wa vibanda umiza.
Al Hilal imekuwa na historia ya kufanya vizuri kwenye CAF Champions League kabla hata ya Ibenge.Walipowatoa kocha alikuwa nani?Al Hilal unayoisemea wewe ni hii ya Ibenge?
Nyuma mwiko bado upo?Vibonde wamekutana, timu imekuja jana haijafanya hata mazoezi inawatoa kamasi namna hii. Simba jengeni timu hapa hakuna kikosi.
Kwa reference gani?Lini Al Hilal ameshaifunga Simba hata kwenye mechi y kirafiki?
Al Hilal wamewafunga mdomo na kelele zenu za kulipa kisasi.Kufungwa nyumbani na kelele zote ni aibu.Au sindano zimeshtukiwa?
Yah ulinizidia ndio maana ukanifunga, ulinizidi kimbinu ndio maana ukanifunga.Nilikufunga moja bila goli la Morisson, vp sikuile ulizidiwa na Yanga?
Mfano mwengine Arsenal iliyo cheza fainal na Barca nayo iliingia kibahati fainali. Kwenye mpira bahati zipo.
Nope sijasema wachezaji walikosa matokeo kwa uzembe wao wenyewe? Jana mimi na walaumu viongozi, kwani aliyefanya mistake ni kocha na kocha siwezi mlaum sababu ndio mechi yake ya kwanza ila kiuchezaji Yanga hakucheza vibaya,ila sub zake ndizo zilimaliza Yanga.Kaangali comment Yangu ya kwanzana fuatilia mtililiko.Mkuu umesema yanga alikua na performance nzuri ila hakupata matokeo hapo hapo ukasema wachezaji wamekosa matokeo kwa uzembe wao wenyewe, Sasa hapo good performance imetoka wapi? Nini maana ya good performance? Good performance inaendana na matokeo chanya basi izo nyingine unazoleta ni siasa tuu. Nyie ndio Faizafoxy hua anasema shuleni mlienda kusomea ujinga.
Kufungwa mmefungwa hata na Tabora United tena 3.Sasa Tabora ni bora kuliko Yanga.Mmefungwa mfululizo na Azam kwenye ligi?Je Azam ni bora kuliko Gongowazi?Simba kama ni Bora mbona inafungwa na yanga mfululizo?
Simba kama ni Bora mbona inacheza mashindano ya chini. Kwa nini haichez ligi ya mabingwa ?
Utanifanya ni utafute uzi wa Yanga na Simba wa mechi hiyo humu JF,halafu uzisome kauli za wanazi wa timu yako. Kwangu Yanga hakucheza vizuri ila alikuwa na bahati.Yah ulinizidia ndio maana ukanifunga, ulinizidi kimbinu ndio maana ukanifunga.
Bingwa wa Super Cup ni nani?Au mpira umeanza kushabikia jana?Tena misimu miwili mfululizo.Mwaka 2023 Al Ahly bingwa wa Champions League 0 USM 1.Huko shirikisho wote hamna akili, Mmmekutana timu za shirikisho mnawaota waliopo club bingwa! Bingwa wa shirikisho hawezi kumfunga hata timu ya mwisho club bingwa.
Mkuu kua mkweli unataka kusema Jana pacome, Aziz k, dube waliperfom vizuri? Yule pacome aliyefunga goli kipindi mnacheza na Al hilal ndio huyo wa Jana? Yule aziz k aliyecheza na mamelod South mwaka Jana akaperform vizuri ndio huyo wa Jana? Nachoka kutype ila mkuu kubali ukatae Jana yanga kacheza mpira m'bovu mnoo dube kakosa nafasi ngapi? Si alikua anaanguka tuu kama ana degedege, ni kama leo simba tumeshinda lakini hatukucheza vizuri ni vile tuu wenzetu walikua wabovu.Nope sijasema wachezaji walikosa matokeo kwa uzembe wao wenyewe? Jana mimi na walaumu viongozi, kwani aliyefanya mistake ni kocha na kocha siwezi mlaum sababu ndio mechi yake ya kwanza ila kiuchezaji Yanga hakucheza vibaya,ila sub zake ndizo zilimaliza Yanga.Kaangali comment Yangu ya kwanzana fuatilia mtililiko.
Game plan Al Hilal ni kushambulia kwa kushtukiza utasemaje, viungo walicheza vibaya. Ball position vipindi vyote zaidi ya 60+% unasemaje viungo walicha vibaya?Mkuu kua mkweli unataka kusema Jana pacome, Aziz k, dube waliperfom vizuri? Yule pacome aliyefunga goli kipindi mnacheza na Al hilal ndio huyo wa Jana? Yule aziz k aliyecheza na mamelod South mwaka Jana akaperform vizuri ndio huyo wa Jana? Nachoka kutype ila mkuu kubali ukatae Jana yanga kacheza mpira m'bovu mnoo dube kakosa nafasi ngapi? Si alikua anaanguka tuu kama ana degedege, ni kama leo simba tumeshinda lakini hatukucheza vizuri ni vile tuu wenzetu walikua wabovu.
Sawa mkuu kila mtu akomae na timu yake hapa tutabishana mpaka asubuhi na Sasahivi mtabondwa mpaka mjute kumuondoa gamond, yani yanga kweli hamna akili mnamfukuza kocha kisa kafungwa mechi mbili? Mmekua unbeaten mechi ngapi msimu uliopita? Gamond kawafanyia mangapi? Tukiwaita UTOPOLO PRO MAX mnasema tunawatukana. Nimeamini maneno ya manara yanga wenye akili ni wawili tuu.Game plan Al Hilal ni kushambulia kwa kushtukiza utasemaje, viungo walicheza vibaya. Ball position vipindi vyote zaidi ya 60+% unasemaje viungo walicha vibaya?
Kwanza Yanga na Mamelodi Aziz alikuwa anatokea kwenye matukio machache sana ile iliyokula nguzo na assist ya Musonda aliyo kosa, mechi zote ball position 70% kwa 20% halafu useme alicheza vizuri,mechi ile wakupewa sifa ni Bacca,Job,Mkude,Max na Muda. Hata ile mechi tulikuwa na bahati ,mimi ile mechi ni liitizamia nyumbani sikuenda kwenye vibanda umiza.Wewe mechi tulikuwa tunaomba mechi iishe halafu unasema tulicheza vizuri.
Kwangu Yanga alicheza vizuri mechi ya jana, sasa sijajua vibaya yako ww unaingalia vipi,ila sub ndio ziliimaliza mechi mapema na ndio maana siwezi mlaumu kocha mpya.Mimi ukisoma comment zangu zote ninao walaumu ni Viongozi kumuondoa Gamondi,sababu itachukua muda kocha kuwaelewa wachezaji na wachezaji kuadapt mifumo ya kocha,labda iwe tofauti.
Mnahaki ya kuongea zamu yenu, tunapo elekea hata jukwaa la michezo nina mpango wa kulihama kwa mda,nitakuwa na kwenye majukwaa ya mengine ya siasa,entertainment, mapenzi nk.Sawa mkuu kila mtu akomae na timu yake hapa tutabishana mpaka asubuhi na Sasahivi mtabondwa mpaka mjute kumuondoa gamond, yani yanga kweli hamna akili mnamfukuza kocha kisa kafungwa mechi mbili? Mmekua unbeaten mechi ngapi msimu uliopita? Gamond kawafanyia mangapi? Tukiwaita UTOPOLO PRO MAX mnasema tunawatukana. Nimeamini maneno ya manara yanga wenye akili ni wawili tuu.
Simba kumbe haikupeleka wachezaji National teamMbona hujasema kuwa nikumbuke kuwa walikuwa pungufu? Na kwanini hukuweka angalizo kuwa kuna wachezaji wao wengi walikuwa wameitwa national team?
Walipowatoa kocha alikuwa nani?
yani yanga kweli hamna akili mnamfukuza kocha kisa kafungwa mechi mbili? Mmekua unbeaten mechi ngapi msimu uliopita? Gamond kawafanyia mangapi? Tukiwaita UTOPOLO PRO MAX mnasema tunawatukana. Nimeamini maneno ya manara yanga wenye akili ni wawili tuu.
Naona tundu limeanza kukuwasha tena.Nyuma mwiko bado upo?
Kufungwa mmefungwa hata na Tabora United tena 3.Sasa Tabora ni bora kuliko Yanga.Mmefungwa mfululizo na Azam kwenye ligi?Je Azam ni bora kuliko Gongowazi?