wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
Hakuna cha mungu nyinyi ni wanafki tu . Swali kufunga mnafanya juhudi sana mbona ibada ndio njia sahihi amuhifanyii juhudi . sasa Misikiti itajaa ramadhani ikiisha hata safu mbili azijai .ACHENI uNAFKI KWENYE jAMBO LA MUNGUMimi nimekushangaa wewe kuita watu wanafiki wakati hilo jambo Mungu ndio anajua dhati ya mioyo ya hao watu, mtu akifunga , akiacha dhambi au akirudia hili jambo Mungu anajua maana yeye ndio mlipaji, hivyo basi acha kuita watu wanafiki wakati wewe hujui chochote juu ya mioyo ya hao watu, Mungu ndio anajua unafiki au ukweli wa mtu sio wew