Hii Trending ya kujifanya Mcha-Mungu wakati wa Ramadhani ni kujilisha upepo na ubatili mtupu

Hii Trending ya kujifanya Mcha-Mungu wakati wa Ramadhani ni kujilisha upepo na ubatili mtupu

ukiwaambia wanapaniki
kama mtu unaamua kubadilika badilika moja kwa moja, na wanaobqdilika hawasubiri mwezi wa ramadhani
Mtu unafanya maovu ukijua ni maovu na unapanga kabisa Ramadhani hii nafunga naupisha mwezi mtukufu [emoji1][emoji1] ukiisha wanaendelea wakiambiwa wanafiki wanakuja juu
Huwa unasali?
 
ukiwaambia wanapaniki
kama mtu unaamua kubadilika badilika moja kwa moja, na wanaobqdilika hawasubiri mwezi wa ramadhani
Mtu unafanya maovu ukijua ni maovu na unapanga kabisa Ramadhani hii nafunga naupisha mwezi mtukufu 😄😄 ukiisha wanaendelea wakiambiwa wanafiki wanakuja juu
Wewe huna dhambi?
 
Mungu humpenda anayemrudia hata ungekosa mara mia Mungu anakusamahe tofauti na binadamu,
Wewe na Mungu mlizaliwa tumbo moja toka nitoke au ulizaliwa mkiwa mapacha kwamba wewe na Mungu ni watoto wa mama mmoja? Au unamzungumzia Mungu yupo?
 
Fuata mambo yako punguza kiherehere na mambo ya watu.Wadada wamejisitiri unawasema wakivaa uchi unawasema kwani we jinsia gani mkuu au we ndo wale Ladies and Gentlemen.??????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe na Mungu mlizaliwa tumbo moja toka nitoke au ulizaliwa mkiwa mapacha kwamba wewe na Mungu ni watoto wa mama mmoja? Au unamzungumzia Mungu yupo?
Namzungumzia Mingu mwenye huruma,mkarimu
Wewe na Mungu mlizaliwa tumbo moja toka nitoke au ulizaliwa mkiwa mapacha kwamba wewe na Mungu ni watoto wa mama mmoja? Au unamzungumzia Mungu yupo?
Mungu ni mwenye huruma, mkarimu, hata umkosee mara mia halafu ukaludu kutubu, atakusamehe.Tofauti na wewe binadamu ukikosewe zaidi ya mara moja hutaki kusamehe
 
Buhahaha kwa hio mkuu unataka kusema km mtu alikua mwizi hapa kwenye Ramadhan anaenda likizo yaan haibi Tena maana anaomba Toba anaomba msamaha Ila ikiisha Eid El Fitri tu jamaa anaanza michongo yake ya wizi hapo vipi imekaa fresh au sio?

Mungu una undugu nae au mlizaliwa tumbo moja?
Ndiyo aache wizi mwezi huu kuhusu Mungu ninae muabudu mimi ni Mungu ambae hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja
Kwahiyo sijazaliwa nae tumbo moja
 
Back
Top Bottom