Hii Trending ya kujifanya Mcha-Mungu wakati wa Ramadhani ni kujilisha upepo na ubatili mtupu

Huwa unasali?
 
Wewe huna dhambi?
 
Mungu humpenda anayemrudia hata ungekosa mara mia Mungu anakusamahe tofauti na binadamu,
Wewe na Mungu mlizaliwa tumbo moja toka nitoke au ulizaliwa mkiwa mapacha kwamba wewe na Mungu ni watoto wa mama mmoja? Au unamzungumzia Mungu yupo?
 
Fuata mambo yako punguza kiherehere na mambo ya watu.Wadada wamejisitiri unawasema wakivaa uchi unawasema kwani we jinsia gani mkuu au we ndo wale Ladies and Gentlemen.??????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe na Mungu mlizaliwa tumbo moja toka nitoke au ulizaliwa mkiwa mapacha kwamba wewe na Mungu ni watoto wa mama mmoja? Au unamzungumzia Mungu yupo?
Namzungumzia Mingu mwenye huruma,mkarimu
Wewe na Mungu mlizaliwa tumbo moja toka nitoke au ulizaliwa mkiwa mapacha kwamba wewe na Mungu ni watoto wa mama mmoja? Au unamzungumzia Mungu yupo?
Mungu ni mwenye huruma, mkarimu, hata umkosee mara mia halafu ukaludu kutubu, atakusamehe.Tofauti na wewe binadamu ukikosewe zaidi ya mara moja hutaki kusamehe
 
Ndiyo aache wizi mwezi huu kuhusu Mungu ninae muabudu mimi ni Mungu ambae hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja
Kwahiyo sijazaliwa nae tumbo moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…