Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.

View attachment 3246880
Chill out, huyo mama ndio vitu anapenda na wameshajua.
 
Mnajua maana ya Comedy na alikuwa sehemu gani ? Mkutano wa Kupanga mambo ya Taifa kama Rais au Mualikwa wa kwenye vichekesho ?

Ingawa sijaangalia video ila nimeona issue ni comedy kwahio najua kila kinachoendelea humo ni comedic..., Issue mnamchukulia Rais kama Mtawala au Mtakatifu fulani kumbe ni binadamu wa kawaida tu.... I had rather Rais ambaye ni down to earth na hana maadili kwa macho yenu wengi lakini haleti utani na mali ya UMMA, than vice versa...

Hivyo namlaumu Samia for the latter....
🙋‍♂️✍️🎯👌👍👏👊🤝🙏💐🎁🗼🎖️🛡️
 
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.

View attachment 3246880
Nadhani ilikuwa vionjo vya hao wachekeshaji tu. Nothing serious to my side. Hata hivyo sipuuzi moja kwa moja shaka yako.
 
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.

View attachment 3246880
Ni sehemu ya Comedy tu...
 
Yeye mwenyewe kakubali hayo maigizo ndio maana kapewa tuzo ya uigizaji.

Hivi na nyie mlitarajia division 0 ijifiche kweli?
IMG-20250223-WA0018.jpg
 
Sio kesi saana, ukizingatia ilikuwa ni show ya comedy, kwa hili simlaumu mama.

Ila uchawa ndio too much, kila kitu mama, moaka KOMEDI ni ya mama, tunapoelekea itakuwa tukizagamuana, mrembo akinogewa na utamu apige kelele mama mi5 tena..
 
Back
Top Bottom