Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna vitu vinashangaza sana hebu fikiri eti mtu anakuja na kislogan " Ahh bimkubwa" mara "bi mkubwa hatukudai " hapo inashauriwa na kukubalika eti ni strategy ya kumtafutia rais kura na wapo strategist na advisors wanalipwa kwa kodi za wananchi kufanya kazi hizo kwa uweledi , serious kabisa hii strategy hao watu wanaikubali ?Msitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.
Fanyeni utafiti kisha itawasaidia kufanya informed decision.
Hivi kwanini upinzani wasitumie hizi mbinu ili mradi waiondoe CCM?..halafu ikifika wakati wa Uchaguzi DOLA inaingia kazini.
..tafiti unazosema kuwa zinafanyika ni fursa tu za watu kupiga pesa za CCM.
..mabango, matangazo, wasanii, kushiriki kampeni nayo ni fursa.
..wanaotumainiwa kuwapa CCM ushindi na vyombo vya DOLA.
Hivi kwanini upinzani wasitumie hizi mbinu ili mradi waiondoe CCM?
Wala siyo dhambi siyo rushwa, wajichanganye na jamii kubwa isiyo na elimu au uelewa. Washiriki kujihusisha kwenye vichekesho, muziki, filamu, michezo(hasa soka) na vitu kama hivyo.
Kisha wapenyeze agenda zao za mabadiliko na kukamata dola. Mbona TANU walifanya hivi kwa mkoloni kupitia club za soka?
Mimi mkulima na mfanyabiashara mdogo.Narudia tena kama na wewe ni mshauri kwenye jopo la huyo mama basi mnastahili adhabu na kifungo jela kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Hii sijasema.unataka wapinzani nao watumie bunduki kama CCM?
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Mimi ni staunch supporter wa mamaMsitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.
Fanyeni utafiti kisha itawasaidia kufanya informed decision.
Hivi kwanini upinzani wasitumie hizi mbinu ili mradi waiondoe CCM?
Wala siyo dhambi siyo rushwa, wajichanganye na jamii kubwa isiyo na elimu au uelewa. Washiriki kujihusisha kwenye vichekesho, muziki, filamu, michezo(hasa soka) na vitu kama hivyo.
Kisha wapenyeze agenda zao za mabadiliko na kukamata dola. Mbona TANU walifanya hivi kwa mkoloni kupitia club za soka?
Inawezekana upo sahihi.Mimi ni staunch supporter wa mama
Apunguze kuwa karibia hawa madalali…. They’re ere influential zamani, Kwa sasa hawana hoyo power she’s trying to engage
Power imerudi kwenye class husika
Hao wagombea binafsi tuna wahitaji Sana kwa sasa...Ohh!
..unazungumzia wakati wa Tanu na Wakoloni?
..Waingereza walikuwa wastaarabu kuliko CCM.
..kwanza ukifuatilia historia hutaona popote viongozi na wanaharakati wa Tanu wameshambuliwa, kuumizwa, au kutekwa na Waingereza.
..pili Waingereza hawakuengua wagombea wa Tanu, au kujaribu kuvuruga uchaguzi ambao waliusimamia.
..tatu Waingereza walituandalia uchaguzi ulioruhusu wagombea binafsi, CCM imekuja kuwapiga marufuku.
..Waingereza walikuwa na mabaya mengi, lakini inapokuja kwenye masuala ya siasa na usimamizi wake walikuwa bora kuliko CCM.
Here comes a slave..Ohh!
..unazungumzia wakati wa Tanu na Wakoloni?
..Waingereza walikuwa wastaarabu kuliko CCM.
..kwanza ukifuatilia historia hutaona popote viongozi na wanaharakati wa Tanu wameshambuliwa, kuumizwa, au kutekwa na Waingereza.
..pili Waingereza hawakuengua wagombea wa Tanu, au kujaribu kuvuruga uchaguzi ambao waliusimamia.
..tatu Waingereza walituandalia uchaguzi ulioruhusu wagombea binafsi, CCM imekuja kuwapiga marufuku.
..Waingereza walikuwa na mabaya mengi, lakini inapokuja kwenye masuala ya siasa na usimamizi wake walikuwa bora kuliko CCM.
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Here comes a slave
With his proud accent and a sorry ass attitude
Wazee imefika wakati sasa tupishe hii dunia wabaki watoto wetu
Matunda yote mabaya ya hizi new generations ni wazee Kama mimi na wewe tu
What a bull crap