Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh salalee!Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Hiyo ni comedy show, sasa ulitegemea Rais hasitaniwe ndugu ?!Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Jifunze lugha kwanzahasitaniwe ndugu ?!
DuhWewe ndiye hujaelewa,amlingishie mwanamke wake na anapiga na rais mwanamke,tafsiri yake nini?
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Na ungana na wewe mkuu pale lilikua jukwaa la comedy Mbona inaeleweka..Mnajua maana ya Comedy na alikuwa sehemu gani ? Mkutano wa Kupanga mambo ya Taifa kama Rais au Mualikwa wa kwenye vichekesho ?
Ingawa sijaangalia video ila nimeona issue ni comedy kwahio najua kila kinachoendelea humo ni comedic..., Issue mnamchukulia Rais kama Mtawala au Mtakatifu fulani kumbe ni binadamu wa kawaida tu.... I had rather Rais ambaye ni down to earth na hana maadili kwa macho yenu wengi lakini haleti utani na mali ya UMMA, than vice versa...
Hivyo namlaumu Samia for the latter....
Mama anaubonda mwingi hadi unamiminikaSijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Mkuu hilo tukio lilirushwa na TV za bure.Nikuulize tu kwa mfano , live stream ya hilo tukio kwenye social media lilifikia watu wangapi?
CC: Pascal MayallaMkuu hilo tukio lilirushwa na TV za bure.
Sasa TV zipo hadi vijijini, pia comedy video clips sasa zimejaa kwenye simu za vitochi huwezi amini.
Nakuwa vijijini muda mrefu nawaona wazee vijana na watoto waume kwa wake wana vichekesho kwenye simu.
Ndiyo starehe yao.
Nina uhakika baada ya juma moja utamuona Samia kwenye simu vitochi kila kona.
Acheni hizo fikra za watu wengi wa mjini na wanaojihisi wasomi. Ni utopian thinking alizosema Pascal Mayalla kwenye three yake leo. Mnafikiri mnavyo waza ninyi ndivyo wote wanawaza hivyo. Huko vijijini kuna mabadiliko sana ya matumizi ya teknolojia.
Huko hawawezi kupakua(download) hotuba za kisiasa za no reforms no election. Wanataka vitu vidogo vidogo vya kuwafurahisha na kuburudisha Kama vichekesho na nyimbo za bongo Flava.
Wabunifu watumie humo humo kufikisha ujumbe au kupenyeza agenda zao.
Utayajua haya ukiwekeza kwenye tafiti rasmi siyo hisia. Kuna tools zote Sasa hivi kukusanya taarifa sahihi. Fanyeni analysis kutumia tools za Business Intelligence.
Nina uhakika CCM wame consult watu wakashauriwa kutumia hizo platform. Social media, social events, e.t.c.
Note: Mimi siyo mwanasiasa, si mwajiriwa wa serikali, I was just stating the obvious.
Hawa vijana wana akili ndogo mnoSijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
View attachment 3246880
Msitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.Kama na wewe ni mshauri wa Samia basi nyie ndio mnaompotosha.
Na kuzidi kumfanyia downgrade, kuna vitu vya kusema atateka nyoyo za watu kumbe hao anaoenda kuwateka ni watu alionao kila siku.
Nikuulize tu kwa mfano , live stream ya hilo tukio kwenye social media lilifikia watu wangapi?
Kuna vitu mnatakiwa kumshauri afanye akubalike sio hiyo scheme ya kuchota pesa za umma kustage PR stunts eti mnateka nyoyo za watu.
Hebu cheki kile kituko cha Masanja anaitwa mtalii wa ndani anaenda Tanga na pikipiki hivi kweli leo hii mtu gani alimjua Masanja kama mtalii wa ndani ,wale aliokutana nao wamelipwa naye kalipwa ajabu wameua mji wa viwanda kama Tanga halafu Masanja anazunguka na pikipiki kila sentensi ni Samia badala ya kuelezea hata vitu vilivyopo Tanga kwa uhalisia.
Huyo mama mnampoteza na kiufupi hauziki kwa sasa na watu washashtuka 99% ya wanaompamba wote wana namna ya kunufaika kifedha na kwenye biashara zao.
Hii kama ni mbinu ya kupata Kura basi Tanzania itaendelea kuwa Nchi ya kipumbavu daimaMsitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.
Fanyeni utafiti kisha itawasaidia kufanya informed decision.
Exactly.Hii kama ni mbinu ya kupata Kura basi Tanzania itaendelea kuwa Nchi ya kipumbavu daima
Narudia tena kama na wewe ni mshauri kwenye jopo la huyo mama basi mnastahili adhabu na kifungo jela kwa matumizi mabaya ya ofisi.Msitumie hisia kwenye kufanya maamuzi ya mbinu zipi mzitumie kupata kura.
Fanyeni utafiti kisha itawasaidia kufanya informed decision.
Mkuu hilo tukio lilirushwa na TV za bure.
Sasa TV zipo hadi vijijini, pia comedy video clips sasa zimejaa kwenye simu za vitochi huwezi amini.
Nakuwa vijijini muda mrefu nawaona wazee vijana na watoto waume kwa wake wana vichekesho kwenye simu.
Ndiyo starehe yao.
Nina uhakika baada ya juma moja utamuona Samia kwenye simu vitochi kila kona.
Acheni hizo fikra za watu wengi wa mjini na wanaojihisi wasomi. Ni utopian thinking alizosema Pascal Mayalla kwenye thread yake leo. Mnafikiri mnavyo waza ninyi ndivyo wote wanawaza hivyo. Huko vijijini kuna mabadiliko sana ya matumizi ya teknolojia.
Huko hawawezi kupakua(download) hotuba za kisiasa za no reforms no election. Wanataka vitu vidogo vidogo vya kuwafurahisha na kuburudisha Kama vichekesho na nyimbo za bongo Flava.
Wabunifu watumie humo humo kufikisha ujumbe au kupenyeza agenda zao.
Utayajua haya ukiwekeza kwenye tafiti rasmi siyo hisia. Kuna tools zote Sasa hivi kukusanya taarifa sahihi. Fanyeni analysis kutumia tools za Business Intelligence.
Nina uhakika CCM wame consult watu wakashauriwa kutumia hizo platform. Social media, social events, e.t.c.
Note: Mimi siyo mwanasiasa, si mwajiriwa wa serikali, I was just stating the obvious.