Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Sina muda wa kuangalia Video ila kama content / muktadha ulikuwa comedy kwahio chochote kitakachotokea huko nakichukulia kwamba ni comedy (siwezi kutafuta vitu serious kwenye comedy)
Kwahio hata Ile tuzo ni comedy, Sio kitu serious kumbe..... anyway yaishe
 
Mleta mada na wenye mawazo yakufanana na yako, unaijua "White House correspondent dinner"
Inafanyika ndani ya ikulu ya nchi yenye nguvu na ushawishi duniani, wenye userious kuliko familia yako... Shoo inajaa comedian kibao... Rais anataniwa kupita maelezo

PUNGUZA CHUKI NA MAKASIRIKO
Basi Mimi nina chuki, na makasiriko. Asante
 
Kwa akili yako mleta mada,
Katika vitu vyote wameongea wale wachekeshaji kipi kilikuwa cha maana kwa Rais Samia zaidi ya comedy?
Hata Ile tuzo haikua ya maana..... that's good!
 
Ni lini ccm walifanya masuala yanayolinda maadili?
Achana na kuomba picha... Kulikuwa na haja gani ya hao wanaojiita wachekeshaji kupanda jukwaani kuimba mapambio na kumuabudu SSH?!
Ni kweli kabisa
20241215_092307.jpg
 
Kwahio hata Ile tuzo ni comedy, Sio kitu serious kumbe..... anyway yaishe
Aisee kwahio kama mtu akipata tuzo ya kucheza mpira hio tuzo nayo ni kucheza tu na haina maana ? Au sababu Tuzo ni Serious na kitu cha maana basi vichekesho vibadilike na kuwa Serious ?; Comedy ni all about kufurahisha, kuchekesha na has nothing to do na vitu serious (ni avenue ya kupunguza / kuondoa stress) ni entertainment....; kwahio so long as ina induce laughther (its all good)
 
Hakuna kitu cha ajabu kwenye tukio zima. Punguzeni kufanya mambo kuwa magumu kiasi hicho. Asanteni
 
Nadhani ilikuwa vionjo vya hao wachekeshaji tu. Nothing serious to my side. Hata hivyo sipuuzi moja kwa moja shaka yako.
Mzee ww ni mwana ubawa ? Mbona umejibu kistratajia
 
Wewe ndio umetafsiri kipuuzi... Hakuna mahali amemaanisha anataka kupiga picha na Rais ili kumringishia mpenzi eti sababu ya uanamke wa Rais. No way acha ujinga. Anaomba kupiga sababu na mamlaka ya utaasisi wa rais, ili mpenzi wake ajue jamaa kwa sasa yupo juu au kimjini mjini ni system.. Umeelewa we tikiti... Tumpe heshima Rais wetu wakati mwingine.
Umellezea vzr sana good kama mwanmke yyte anaakuwa rais mbona mama yke mtoa mada kaishia kuuza togwa. Tuheshimuni rais
 
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.

View attachment 3246880
Una complicated mambo. Mambo yote yalikuwa katika comedy nothing serious
 
Wewe ndio umetafsiri kipuuzi... Hakuna mahali amemaanisha anataka kupiga picha na Rais ili kumringishia mpenzi eti sababu ya uanamke wa Rais. No way acha ujinga. Anaomba kupiga sababu na mamlaka ya utaasisi wa rais, ili mpenzi wake ajue jamaa kwa sasa yupo juu au kimjini mjini ni system.. Umeelewa we tikiti... Tumpe heshima Rais wetu wakati mwingine.
Wewe ndiye hujaelewa,amlingishie mwanamke wake na anapiga na rais mwanamke,tafsiri yake nini?
 
Yeye mwenyewe kakubali hayo maigizo ndio maana kapewa tuzo ya uigizaji.

Hivi na nyie mlitarajia division 0 ijifiche kweli?
View attachment 3246887
Kuna kitu mnakikosa.
Kuna andiko la maelfu ya miaka
How to win election la Marcus Cicero.
Washauri wa Raisi Samia kwenye mambo ya siasa wanafanya kazi kitaalamu Sana.
Wanaangalia matukio yanayo vuta watu wengi kwenye jamii kwa wakati husika.
Wanajipenyeza na kuteka nyoyo au hisia za wengi ambao ndio mtaji wa kura.
Wanaifanyia social engineering in politics jamii kubwa ya wananchi wa kawaida.
 
Mbona huku kakimbia??

View: https://x.com/SheikhPonda/status/1893743074498498939?t=0vglSjnRm7hL8aULAJD9DA&s=19
 
Aisee kwahio kama mtu akipata tuzo ya kucheza mpira hio tuzo nayo ni kucheza tu na haina maana ? Au sababu Tuzo ni Serious na kitu cha maana basi vichekesho vibadilike na kuwa Serious ?; Comedy ni all about kufurahisha, kuchekesha na has nothing to do na vitu serious (ni avenue ya kupunguza / kuondoa stress) ni entertainment....; kwahio so long as ina induce laughther (its all good)
Eeghh tusibishane, ni Sawa kilichotokea, kumtania Raisi kwa kumlinganisha na Ex wake. Anyway hata angemshika Nanihii ni Sawa Tu si ni comedy??
 
Eeghh tusibishane, ni Sawa kilichotokea, kumtania Raisi kwa kumlinganisha na Ex wake. Anyway hata angemshika Nanihii ni Sawa Tu si ni comedy??
Hata kama sio Rais ni mtu tu baki ndio ashikwe ? Kwamba kuna mambo sawa ya kufanyiwa mtu baki ambayo Rais asifanyiwe ? (Kama kuna boundary au what is deemed not appropriate kwa yoyote yule basi kisifanyike ila sio sababu ni Rais ndio afanyiwe au asifanyiwe kitu ukishaingia kwenye ukumbi wa Comedy ni Fair Game chochote ambacho angefanyiwa mtu baki na yeye anafanyiwa...

If you can't stand the Heat.., Get out of the Kitchen..., Ila it seems she could stand the Heat wewe ambaye unaona haifai badilisha channel angalia cartoon...
 
Kuna kitu mnakikosa.
Kuna andiko la maelfu ya miaka
How to win election la Marcus Cicero.
Washauri wa Raisi Samia kwenye mambo ya siasa wanafanya kazi kitaalamu Sana.
Wanaangalia matukio yanayo vuta watu wengi kwenye jamii kwa wakati husika.
Wanajipenyeza na kuteka nyoyo au hisia za wengi ambao ndio mtaji wa kura.
Wanaifanyia social engineering in politics jamii kubwa ya wananchi wa kawaida.
Kama na wewe ni mshauri wa Samia basi nyie ndio mnaompotosha.

Na kuzidi kumfanyia downgrade, kuna vitu vya kusema atateka nyoyo za watu kumbe hao anaoenda kuwateka ni watu alionao kila siku.

Nikuulize tu kwa mfano , live stream ya hilo tukio kwenye social media lilifikia watu wangapi?

Kuna vitu mnatakiwa kumshauri afanye akubalike sio hiyo scheme ya kuchota pesa za umma kustage PR stunts eti mnateka nyoyo za watu.

Hebu cheki kile kituko cha Masanja anaitwa mtalii wa ndani anaenda Tanga na pikipiki hivi kweli leo hii mtu gani alimjua Masanja kama mtalii wa ndani ,wale aliokutana nao wamelipwa naye kalipwa ajabu wameua mji wa viwanda kama Tanga halafu Masanja anazunguka na pikipiki kila sentensi ni Samia badala ya kuelezea hata vitu vilivyopo Tanga kwa uhalisia.

Huyo mama mnampoteza na kiufupi hauziki kwa sasa na watu washashtuka 99% ya wanaompamba wote wana namna ya kunufaika kifedha na kwenye biashara zao.
 
Back
Top Bottom