Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Kusema kweli Katiba Mpya ni muhimu sana kwasasa.

Hata kama ni nguo, huwezi kukaa na nguo uliyoinunua Mwaka 1977 hadi leo hii. Lazima itakuwa imepitwa na wakati lakini pia itakuwa na Vilaka vingi mno
Kweli kabisa. Sijui kuna jinamizi gani hapo watu wanaogopa mabadiliko na tunafanya rejea kwa nchi zilizo kwenye mtafaruku e.g. Congo, Somali n.k. tunasahau kwamba wao ni wao na sisi ni sisi.
 
Wapi??uongoo nyie mtatuletea vita kama kama congo ,msumbiji ndio maana tunawachora tunawapa CCM nchi
Wakati Mwalimu Nyerere anataka ku introduce Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa (Multiparty system) mwaka 1990 kuelekea 1992, Watanzania wengi walipoulizwa kuhusu jambo hilo walikuwa na majibu kama yako; eti Vyama Vingi vitaleta Vita.

Lakini baadaye kwa manufaa ya Nchi Vyama vingi viliasisiwa Mwaka 1992 regardless wengi waliokataa 82% kwa 18%
 
Kweli kabisa. Sijui kuna jinamizi gani hapo watu wanaogopa mabadiliko na tunafanya rejea kwa nchi zilizo kwenye mtafaruku e.g. Congo, Somali n.k. tunasahau kwamba wao ni wao na sisi ni sisi.
Uwezo wa kufikiri kwa Watanzania wengi, umepungua/umepunguzwa.

Wale watakaobahatika kufika Mwaka 2050 watakuja kuwa mashahidi
 
Hahaha..........


Kuna watu wanaila hii Nchi hatari, Imagine hadi anastaafu anaendelea kuhudumiwa hadi Kifo Chake
 
mm concern yangu si gari kutengenezwa mitaani bali kutelekezwa.TEMESA hawana mafundi ni kama madalali tu.ukipeleka gari wanachaji mara mbili ya bei za mtaani halafu matengenezo yenyewe hayaridhishi.wanachukua mafundi mtaani ndo wanawatengenezea magari sasa si bora upeleke mtaani ambako gari litatengenezwa vzr na kwa bei nzuri?kwani mm nashangaa kwa nini TEMESA ipo mpaka sasa kama serikali inaihitaji basi iiboreshe.iajiri mafundi waliomaliza vyuo vya ufundi na ambao wamepractice kwa muda mrefu mtaani lkn kwa hali iliyopo sasa TEMESA ni madalali wa ufundi tu.
 
Itakuwa kuna mchakato unaendelea wa kusajoli kwa umiliki binafsi.
Documents zikikamilika tu, wanakuja na plate number chap
 
mm sioni kama kero haya magari yameuzwa lkn huwa yanabaki na namba za serikali na kukaa hapo muda mrefu si tatizo inabidi mtoa habari kwanza awe well informed kwa nn magari hayo yapo hapo halafu kwa utaratibu magari ya serikali yanapotengenezwa si lazima umma ujulishwe huo sio utaratibu wa kiutendaji.jambo usilolijua wewe pita njia achana nalo kama linakuuma basi fuatilia upewe ukweli vinginevyo hiyo stori haina masjiko kabaisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…