mm concern yangu si gari kutengenezwa mitaani bali kutelekezwa.TEMESA hawana mafundi ni kama madalali tu.ukipeleka gari wanachaji mara mbili ya bei za mtaani halafu matengenezo yenyewe hayaridhishi.wanachukua mafundi mtaani ndo wanawatengenezea magari sasa si bora upeleke mtaani ambako gari litatengenezwa vzr na kwa bei nzuri?kwani mm nashangaa kwa nini TEMESA ipo mpaka sasa kama serikali inaihitaji basi iiboreshe.iajiri mafundi waliomaliza vyuo vya ufundi na ambao wamepractice kwa muda mrefu mtaani lkn kwa hali iliyopo sasa TEMESA ni madalali wa ufundi tu.