Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Nimekutana na haka ka-clip kakionyesha magari mawili ya serikali yakiwa yamefichwa/telekezwa maeneo ya Dar mtaa wa kitumbini jirani na Peacock hotel! Moja ina usajili wa STL kwenye kioo! Kwa mujibu wa mtu anayerekodi clip hio anadai kwamba gari hizo Moja imekaa zaidi ya miezi mitatu hapo!

Seems hii taarifa sio njema kwa namna yoyote! Kama una bando angalia hapa
View attachment 2587666
Dahh..

Jamaa kanifurahishaa kwa hudhuni... Eti ni Mungu mwenyewe anajua..

Dah..

Kaongea kwa uchungu sanaa...
 
Gari imetegwa Apo wanafanya mchakato wa kadi kutok umilk wa serikali hadi mtu binafs

Asee inaumiza yaan sisi wa Tz tunawez kusimamia nn

Kwa Teknojia yote lakn mtu anafany wiz/mwenendo mchafu kama huu
Au inauzwa kama chuma chakavu.
 
Inasikitisha sana kodi zetu jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom