Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Huyo bangi imemkolea. Rais wetu anapendwa na 99% ya watanzani. Ni mabwege km we ndio hamuwezi kumpenda Rais wetuRais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
View attachment 3309871
Huyo bwege mvuta bangi labda akuokoe wewe. Hv itokee hao wahuni ndio viongozi wa nchi yetu? Mungu atuepushe mbali. Kuna calibre ya mtu kiongozi huko chadema aliyebaki labda Mnyika tu, vijana wazuri km kina Silinde wameshaondokaHeche ni kizazi ambacho kinaweza kuiokoa hii nchi, Taifa linataka watu strong jamii ya Heche sio hawa vijana machawa machawa wanaowaza maisha mepesi mepesi.
Acha bangi we ngedereUkute wewe ni mtu mzima hat 60+ huko. kenge kweli,😡 dawa zinawaingia eenh!!mtakuja tukanwa na watoto wenu humu🚮🚮🚮🚮. Acheni kucheza na akili za watu..ni vibaya😡😡😡😡😡😡
Umenena mkuuUrusi aiweziku kubali kibaraka kama Heche na Lisu wakatawala majukwaa kueneza uongo na porojo amshukuru Rais ni mpole
Waendelee kujidanganya hivyo hivyo
Huyo ni mpumbavu ndio maana, na hiyo ni kawaida ya wapumbavu. Lissu ni pumbav na hajui anataka nini na atakipataje au anafikiri uongozi wa nchi ni km uenyekiti wa chadema,?Inauma sana.
Hivi mtoto wako akiwa anateseka kama Lissu unajisikiaje?.
Risasi, kesi lukuki za uongo.
Dunia hii tutaiacha.
Viongozi hii dhambi itawararua.
Tafadhali sana , muachieni.
🚮Acha bangi we ngedere
Hao wapambe wameteuliwa na au wapo chini ya nani?Rais hana ubaya huo tatizo wapambe na machawa.