Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Unaota wewe!
Kama vile Iran inavyoapa kila siku kwamba "death to America, death to Israel"
Vile vile na wenzake wanaapa kwamba Iran will never have Nukes bomb!
Israel kwenye hii vita ametimiza malengo yake ya kushambulia vinu vya nyukilia endapo mazungumzo hayatazaa matunda na hilo limetokea
Iran alikuwa HANA MALENGO, WENZAKE MALENGO YALIKUA KUHARIBU MITAMBO YA NYUKLIA NA MAKOMBORA. LENGO LIMETIMIA VITA HAINA MAANA TENAInaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa
Malengo makuu yalikua ni matatu
Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia
Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa
Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.
Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.
Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.
Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??
Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel
It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!
Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.View attachment 3381690
Basi na sisi tunaweza hamisha Bwawa la NyerereMizigo ilishahamishwa toka kitambo kapiga mijengo tu.
Kibarua kikubwa kwa intelligence ya Iran kwa sasa ni kuuvunja mtandao wa Mossad na CIA uliofanikiwa kujipenyeza kwenye taasisi zao za usalama na kiraia.Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.
Israel hatothubutu tena in the future kuanzisha military confrontation na Iran, maana Iran anaenda kuandaa jeshi lake upya kujiandaa kwa pambano lijalo. Kama ndani ya siku 12 Tel Aviv imechakazwa vile, hiyo vita ijayo itakuwa msala.
USA haiwezi kufanya vita ya milele na Iran kwa ajili ya maslahi ya Israel
Hahahahhaa mi nasikiaga Israel taifa la mchongo.Kitakachotokea sasa Israel na US urafiki wao utaanza kuyumba, mana kwa kifupi US kaamua kumtosa Israel katikati ya vita na usikute huko back door Trump alimjaza kichwa SHETANYAHU kuwa hatamtupa.
Ila baada ya kuona vituo vyake vya jeshi vimepigwa na Iran kaona isiwe nongwa kamlazimisha Israel kusarenda. I'm sure Israel is not happy with this huge defeat and humiliation
Kila mtu ana mtazamo wake. Mwingine kusambaratishwa vinu vyake vya nyuklia, kuuawa kwa zaidi ya wanasayansi 10 wakuu wa nyuklia, kuuawa kwa mkuu wa majeshi na makamanda wengine waandamizi na kuuawa kwa zaidi ya raia 600, bado anaweza akaona hajashindwa vita!Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa
Malengo makuu yalikua ni matatu
Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia
Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa
Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.
Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.
Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.
Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??
Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel
It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!
Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.View attachment 3381690
Kilichochakazwa ni.mitambo mzee usisahau kuhamisha yale mafuta haimaanishi ndio unaunda bomu na usisahau jamaa walikuwa wamerutubisha aslimia 60 tu kati ya timing zinazohtajikaMizigo ilishahamishwa toka kitambo kapiga mijengo
Kwahio Iran hana mabomu Tena wala nyuklia Sasa tulieni muacheni kumuandamaIran alikuwa HANA MALENGO, WENZAKE MALENGO YALIKUA KUHARIBU MITAMBO YA NYUKLIA NA MAKOMBORA. LENGO LIMETIMIA VITA HAINA MAANA TENA
Nje ya mada:Wewe ni KE au ME?? Kama ni KE ipo shughuli hasa kama unataka tendo coz utaanza uchambuzi wa hoja mpaka hoja!Iran wamewekewa vikwazo
Mtihani mgumu sana huo walioshindwa kufaulu na ndio unaoendelea kuwagharimu mpaka kesho.Kuhusu ujasusi, hapo wana kazi kubwa zaidi ya chochote kulisuka upya si kazi ndogo. Na lazima wafanye kazi ya ziada kuwajua ma agent wa Mossad, waache kunyonga kiholela, maana wanauwa wasio na hatia wanawaacha wenye hatia wakipeleka habari.
Wasjirika wa Mudy huwa hamuachi kujifariji
Hivi unajua unacho ongea?Mizigo ilishahamishwa toka kitambo kapiga mijengo tu.
majengo ya iran yaliyobomolewa vipi?Hahahahhaa mi nasikiaga Israel taifa la mchongo.
Na kinachoonekana, walidhalau sana iran, na ilichowafanyia, hawakuamini. Na kila kukicha, ilikuwa inazidi kuongeza moto. Kwa kifupi NETANYAHU aliuto........ba moto wa Iran kimasihara tu.
Najiulizaga. Kweli alitegemea ile mijengo ingeshushwa kiasi kile? Na sasa, watu wanaenda kujipanga kisawasawa. Hii pia imekuwa fursa ya kuwaona wanafiki. Na ukishaona upo peke yako, lazima ujihami. Na US nae hawezi kulala, maana ameshaona kumbe washenzi walijipanga kumkabili.
Iran siku zote ndoto yake n8 kuangamiza Israel. Ndio maana ana fadhili vikundi vya kigaidi ukanda wote huo ila safari hii wamenuooshwa wote hadi baba mtu Iran kanyooshwaIran haitaki nuclear bomb.
Hata wanaoipiga Iran wanajua kuwa Iran haina nuclear bomb na haifanyi jitihada za kuwa na nuclear bomb, wanachokitaka kwa Iran ni kugiveup uwezo wake wa Kuenrich uranium
Umeandika utafikiri umekatwa kichwa.Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.
Israel hatothubutu tena in the future kuanzisha military confrontation na Iran, maana Iran anaenda kuandaa jeshi lake upya kujiandaa kwa pambano lijalo. Kama ndani ya siku 12 Tel Aviv imechakazwa vile, hiyo vita ijayo itakuwa msala.
USA haiwezi kufanya vita ya milele na Iran kwa ajili ya maslahi ya Israel
Kumbe wewe bado ni Twin Kid, subiri ukue ndiyo itajuaHahahahhaa mi nasikiaga Israel taifa la mchongo.