Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

Heee!!!haya sio mahaba ni ujinga mkubwa!!Israel na Usa malengo yao wameyafikia kwa zaidi ya asilimia 90 na ndio maana wameona vita iishe iran pia ana ugomvi na Usa juu ya kusaidia makundi ya kigaidi karibu yote duniani(walimpa jina kuwa ni axis of evil) kwani akiyachimbia chini zaidi ndio wawatayafikia?huo ni ujinga!!umetumia miaka mingi nabpesa nyingi kujenga mitambo mtu anakuja kuiharibu kirahisi tu!!Sasa Viongozi wako wanauawa tu na jamaa kama anavyotaka bado humpi heshima yake?
 
Mtaumia na tutawakera sana tu chukua hiyo kutoka DW
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 21
Nazidi kuiona tofauti ya wenzetu na sisi watu weusi. Tazama Wayahudi (kwa mujibu wa mleta uzi ) walivo, yaani wapo Marekani lakini wana hasira sana na nchi yao, usikute wengine hawajawahi hata kwenda Israel but see the way wanavyo kufikiria kwao. Watu weusi, including viongozi wao, from top leaders to the bottom one, wanafikiria kuiba na kuzifirisi nchi zao na kwenda kuneemesha uchumi wa nchi nyingine halafu na huaga wana wapambe wa kuwasifia, very stupid. Tuna safari ndefu sana watu weusi kuja kufikia level za watu wa race zingine
 

Kachambue tu mpira
 
Malengo ya Israel yalikuwa ni yepi? Mfano kumuua yule babu Ayatola na kubadili kabisa uongozi imefanikiwa? Kiufupi Israel malengo yake hayajafanikiwa. Kalipua baadhi ya maeneo ila kwenye nyuklia hajagusa. Na unadhani kwa nini amesitisha vita? Sababu amebaini kitu tofauti na matarajio
 
Hamna mtandao, Israel hutumia mabilion kuhonga ili kupata intelligence kuliko namba ya mapandikizi waliopo kwenye hizo idara. Na wanatumia extortion kuwa ukigoma basi utakufa. Rejea vitisho alivyopewa mmoja wa majenerali wa Iran wiki iliyopita.
Duh!...kwa hiyo wamagharibi wanapozungumzia Mossad ilivyofanikiwa kujipenyeza Iran Huwa wanaongeza chumvi ?
 
majengo yaliyokua pembeni na military assets yaliharibiwa
Tatizo si yalikuwa wapi. tatizo ni majengo yalibomolewa. Israel ibomoe ya Gaza, af ikifika round yao wenyewe waonewe huruma!
 
Tatizo si yalikuwa wapi. tatizo ni majengo yalibomolewa. Israel ibomoe ya Gaza, af ikifika round yao wenyewe waonewe huruma!
waonewe na nani? gaza wamejenga sehemu zankufatyulia makombora chini ya shule na hospitali sasa apo ulitakaje?
 
Nje ya mada:Wewe ni KE au ME?? Kama ni KE ipo shughuli hasa kama unataka tendo coz utaanza uchambuzi wa hoja mpaka hoja!
Mimi ni KE enzo1988 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nawewe leo unijibu hapa ni KE au ME last time uliniambia niangalie comment zako, nimeshindwa kujua. Mimi napenda tu kusoma sana, habari mbalimbali, kujielimisha. Ndiyo maana. Huko ulikotaja niko so Romantic πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
tatizo la Trump,anamagorofa nayeye na anajua galama na uchungu wa kuyajenga.alivyoona huko izrael yanavulugika kaona aanze kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…