zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Nimesoma baadhi ya tafiti zinaonyesha bado ushawishi wa pesa ndio nyenzo inayoongoza kwa Mossad kupata taarifa nyeti mnoo..... so anaweza kuwa ameweka mapandikizi Iran ila majority wanapewa fedha nyingi ili watoe taarifa za kiintelijensia.Duh!...kwa hiyo wamagharibi wanapozungumzia Mossad ilivyofanikiwa kujipenyeza Iran Huwa wanaongeza chumvi ?
Iran kapigwa wiki mbili ameshindwa kutungua hata drone moja
Hapa umechanganya habari(Unless iwe mi sijakuelewa.) Mi nimemjibu aliesema Israel ililenga kambi za jeshi, nchini Iran, na kusema kwamba majumba yaliyokuwa karibu yalihalibiwa. Nikamuuliza,je hayo ya karibu na kambi za jeshi, yenyewe hayakuwa majengo? Nikasema, huko Gaza, kila jumba Israel iliweka chini. Kwa hiyo, yenyewe huko Gaza, ifyeke, Iran ikiifyeka, ianze kujiliza!waonewe na nani? gaza wamejenga sehemu zankufatyulia makombora chini ya shule na hospitali sasa apo ulitakaje?
Mlisema hivyo kwa Pakistan mbona wanaloz same to North Korea. Ni simple tu urusi na China wakisogeza meli zao na mandege unadhani Israel ana jeuri ya kupambana nao?Vile vile na wenzake wanaapa kwamba Iran will never have Nukes bomb!
Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.
Israel hatothubutu tena in the future kuanzisha military confrontation na Iran, maana Iran anaenda kuandaa jeshi lake upya kujiandaa kwa pambano lijalo. Kama ndani ya siku 12 Tel Aviv imechakazwa vile, hiyo vita ijayo itakuwa msala.
USA haiwezi kufanya vita ya milele na Iran kwa ajili ya maslahi ya Israel
hilo ni gazeti la iran la propaganda la iran ulitaka wasemaje?
Kasome wamedondosha Hermes-900 drones ngapi....
Usizungumzie zile drones nyingine ndogo, hazihesabiki..
nyumba za gaza zilipigwa sababu zilikua na miundombinu ya kijeshi, israel yeye anatarget magaidi walipo au ilipo miundombinu yao, ila iran yeye alikua anatarget makazi ya watu, hujaona tofauti hapo?Hapa umechanganya habari(Unless iwe mi sijakuelewa.) Mi nimemjibu aliesema Israel ililenga kambi za jeshi, nchini Iran, na kusema kwamba majumba yaliyokuwa karibu yalihalibiwa. Nikamuuliza,je hayo ya karibu na kambi za jeshi, yenyewe hayakuwa majengo? Nikasema, huko Gaza, kila jumba Israel iliweka chini. Kwa hiyo, yenyewe huko Gaza, ifyeke, Iran ikiifyeka, ianze kujiliza!
tutapiga mpaka Kremlin🤣😂😅Kmmk 😁😁
Kwa maoni yangu ujasusi ama kwa kinyume chake ugaidi,hauna bingwa wala fundi.Kibarua kikubwa kwa intelligence ya Iran kwa sasa ni kuuvunja mtandao wa Mossad na CIA uliofanikiwa kujipenyeza kwenye taasisi zao za usalama na kiraia.
T14 Armata 100 others zitto junior Nguruvi3
Bado hujanijibu. Gaza miundombinu kwa kila nyumba? Na vita inachaguaje labda! Je, una uuhakika gani Israel huko Iran hajapiga makazi ya watu? Zaidi ya 600 wanaosemekana, walikumbana na makombola kwenye vyoo vya wanajeshi, si ndo hivo?n
nyumba za gaza zilipigwa sababu zilikua na miundombinu ya kijeshi, israel yeye anatarget magaidi walipo au ilipo miundombinu yao, ila iran yeye alikua anatarget makazi ya watu, hujaona tofauti hapo?
hilo ni gazeti la iran la propaganda la iran ulitaka wasemaje?
iran wamekufa watu zaidi ya 1000, gaza pamebanana..ukipiga ghorofa moja yatashuka na ya pembeni..pia target hua zinakosea unaweza lenga jengo hili ikapiga jengo la nne mbele, au hujui hilo?Bado hujanijibu. Gaza miundombinu kwa kila nyumba? Na vita inachaguaje labda! Je, una uuhakika gani Israel huko Iran hajapiga makazi ya watu? Zaidi ya 600 wanaosemekana, walikumbana na makombola kwenye vyoo vya wanajeshi, si ndo hivo?
Ndo nimeuliza,hao zaidi ya 1000 walifia sokoni,walikua kwenye vyoo vya jeshi,ilikuwaje?! Kwenye swala la target sasa,kama hilo unalielewa,unawezaje kusema kwamba Israel haikulenga makazi ya watu? Kombola lina akili ya kuchagua?iran wamekufa watu zaidi ya 1000, gaza pamebanana..ukipiga ghorofa moja yatashuka na ya pembeni..pia target hua zinakosea unaweza lenga jengo hili ikapiga jengo la nne mbele, au hujui hilo?
kila vita ina madhara suala la kukosa makazi jwa baadhi linaweza kutokea kama outcome, hao waliokufa wamekufa katika mazingira ya vitaNdo nimeuliza,hao zaidi ya 1000 walifia sokoni,walikua kwenye vyoo vya jeshi,ilikuwaje?! Kwenye swala la target sasa,kama hilo unalielewa,unawezaje kusema kwamba Israel haikulenga makazi ya watu? Kombola lina akili ya kuchagua?
Sikuombei,ila nina imani walau ungekumbana na vita,usingekuwa unaongea haya. Soma, comment, yaoneni ya kawaida,mengine mdanganywe, vita isikie kwa wengine aise. Mi leo nikuhakikishie nikijua itanifikia,bora wakute nimeshafukiwa kabisaaaa.
Kingine unachotaka kuaminisha watu, propaganda za media naona umeziweka pembeni. Waisrael wangapi wamekosa makazi?
Sema kweli ndg mchambuzi.Ushabiki sijui mnapataga faida gani aisee
Sijui hamna kazi za kufanya
Mtu kauliwa wakuu wote wa juu wa jeshi na usalama
Kambi za jeshi karibia zote zimeharibiwa
Rada zimebondwa bondwa
Inchi imerudishwa miaka 100 nyuma bado tena yeye ndo kashinda vita kisa tu kavunja maghorofa aisee
Kobaz mna roho ngumu sana kwakweli ndo maana shetani huwatumia
Baba mtu Iran nani huyo? Ndo Urusi? Na kanyooshwa vp??Iran siku zote ndoto yake n8 kuangamiza Israel. Ndio maana ana fadhili vikundi vya kigaidi ukanda wote huo ila safari hii wamenuooshwa wote hadi baba mtu Iran kanyooshwa
Sasa kama Iran kalipua yote hayo mbona hatuoni au kusikia hata Kwa vyanzo vingine vya habari nje ya media zao za Western propaganda km BBC,CNN na Aljazira na kwanini pia Irani akubali Negotiations/Mazungumzo kirahisi tu hivyo na Trump na USA yakeFuatilia vizuri kiongozi.
Marekani yenyewe imekiri sasa hivi muda huu saa 6 na Dakika 19 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki kupitia Bloomberg tv kwamba hawajafanikiwa kuteketezà vinu vya nyuklia vya Iran kwani Iran walishahamisha Uranium yao kwenda sites nyingine za siri ambazo mpaka sasa hazijafahamika.
Pia shirika la atomic duniani siku ya jana limekiri kwamba hakuna nuclear emissions/Uranium leakage yoyote iliyotokea pale Iran na mashariki yote ya kati kwa ujumla.
Hivyo malengo ya vita kwa upande wa Israel ambayo yalikuwa kuangusha utawala wa sasa wa Iran na kuangamiza vinu vya nyuklia hayajafikiwa.
Iran haikuwa na nia ya kufanya vita kwa sasa ila baada ya kuchokozwa wamejibu mapigo kadhaa wa kadhaa kwa sababu ilikuwa imeshajiandaa.
Mapigo hayo ni kama:-
I)Wamelipua oil refinery na bandari ya Haifa.
ii)Wamepiga chuo cha utafiti cha Weizmann kiasi cha kuleta hasara ya $50 million na tafiti zote za kisayansi zilizokuwa zinaendelea zimetekezwa hivyo inabidi waanze upya.
Kuna tafiti zilikuwa zina miaka 7 na zinaendelea ila zimetekezwa.
iii)Wamepiga stock market (soko la hisia) la pale Tel Aviv.
iv) Wamepiga power stations.
v)Wamepiga hospital ya kijeshi ambapo chini kulikuwa na military bases.
vi)Ofisi za Microsoft zimelipuliwa.
vii)Mfumo wa ulinzi wa anga wa Iron dome umewekwa uchi kwamba hauwezi kuzuia makombora hivyo kuwafanya Israel na Marekani waonekane kuwa waongo.
viii)Maghorofa na majengo mengi yamelipuliwa na kuwafanya wakaishi kwenye mahandaki na maelfu kukimbia kwenda mataifa mengine.
Tel Aviv imekuwa kama Gaza.
ix)Baada ya Marekani kuingilia kumsaidia Israel,Iran ikaamua kushambulia kambi za jeshi za Marekani zilizopo Qatar na Iraq.
Baada ya mashambulizi hayo hata Marekani yenyewe imeona kuna umuhimu wa kusitisha vita maana ilipeleka anga karibu lote la Mashariki ya kati kufungwa kwa muda kuanzia Oman,Kuwait,Saudi Arabia,Qatar,Iraq pamoja na Jordan.
x)Kuna tetesi kwamba ndege ya F-35 fighter jet imetunguliwa na makombora ya Iran.
xi)Asubuhi ya kuamkia leo mji wa Beer-Sheva/Beer-Sheba(kwa Kiswahili) umepigwa makombora na maghorofa kadhaa kuharibiwa na watu wamefukiwa kwenye kifusi na kadhaa wahofiwa kufa.
Mamlaka za Israel zimekuwa zikificha mara kwa mara idadi ya vifo kuepuka aibu ila waliokufa ni wengi sana huko Israel.
Sasa ukiibeza Iran kwa sababu ya matangopori uliyolishwa na vyanzo vya kueneza propaganda vya ulaya Magharibi utakuwa umeingizwa chaka.
Ukweli ni kwamba Iran sio mnyonge na hapaswi kuchukuliwa poa.