Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Bado baba lao Iran. Ukijumlisha vikwazo vyote walivyopewa hao, havifikii alivyopewa Iran, lkn bado inadunda tu.
Kaka mm ni mshabiki wa Iran,ila Iran inajikaza lakini hali ngumu bro.
Hiyo Syria Kila kukicha wananchi wanavuka boda kuingia Turkey kusaka maisha,Korea kaskazini ni miongoni mwa mataifa yenye poor food security km Kenya.
Economic sanctions ni mbaya kaka acha kabisa .
 
Uko sahihi

Putin ndio bye bye.... Arudi tu kwao bagamoyo!
 
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.

Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
Duh!! Hiki ni kiwango cha degree ya tatu ya upumbavu. Wewe jamaa umeendelea sana katika upumbavu.
 
Muwe mnasoma na kuelewa vikwazo alivyowekewa Urusi ni vibaya maana hadi Swift imefungwa anga lote la Ulaya limefungwa kwa ndege zote zilizosajiliwa Urusi
Acha uongo mzee. SWIFT imefungwa lini!?
 
You must be a lazy dreamer. Iran iliondolewa kwenye SWIFT 2014 na bad inapiga kazi.

Ulaya inaumia zaidi kwa vikwazo hivyo kama anavyoumia Russia. Hakuna mshindi katika hilo.
Hitaji la Swift la mwaka 2014 na sasa lipo sawa? Unawezaje kufananisha International relationship kati ya Iran na Russia! So sad
 
Wape somo hawa Warusi wa Kimanzichana😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…