technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia.
Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani.
Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8 wanaompinga Trump.
Sasa Kama baba wa democracy anafanya udicteta ndani ya nchi yake hivi je itakuwaje kwa mataifa ambayo Hayajitambui mbumbumbu Kama TANZANIA?
Marekani kumbe nguvu yake ya kijeshi sio uwezo ni pesa na nuclear tu?
Miaka yote amekuwa akipigana na nchi zinazonunua silaha kwa nchi zingine .
Sio zinazotengeneza silaha Kama yeye.
Ndio maana vita ya Iran imekuwa ngumu kwake lakini anakomaa.
Mpaka Leo katumia Dollar billion 700 kwenye hii vita aise asipofanikiwa hizi gharama anaziridishaje?
Hii vita ndio imenifumbua macho nchi nyingi duniani zinafanya siasa za kinafiki uongo na propaganda na utapeli .
Hii vita Marekani hatoboi labda atumie silaha za nuclear.