Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Chama cha mapinduzi ccm kinategemea dola ili kiweze khaki madarakani.CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama
Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM
nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara
CCM inaamini kwenye mfumo imara kwa ajili ya maendeleo endelevu ya nchi yetu
Mifumo imara bado Sana, ndio kwanza juhudi zimeanza upya kuirejesha ile iliyokuwepo ama iliyoharibiwa, kazi bado kubwa Sana sii ndani ya chama tu , hata na kwingineko.CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama
Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM
nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara
CCM inaamini kwenye mfumo imara kwa ajili ya maendeleo endelevu ya nchi yetu
Wajitenge na dola kama wapo imara kweliHizo ni jitihada za kusisiemisha nchi.
Tanzania inaweza kuwa Tanzania bora bila hiyo Sisiem inayo pigiwa upatu hapa.
Na haiwezi kuwa ni maajabu ya karne kuwa na Tanzania bora bila Sisiemu.
Wameharibu sn nchi yetuMifumo imara bado Sana, ndio kwanza juhudi zimeanza upya kuirejesha ile iliyokuwepo ama iliyoharibiwa, kazi bado kubwa Sana sii ndani ya chama tu , hata na kwingineko.
Bashiru alisema wazi lakini yeye kashindwa kutumia dola kubaki kuwa Katibu Mkuu KiongoziChama cha mapinduzi ccm kinategemea dola ili kiweze khaki madarakani.
Chama hiki kinakuwa na ghiriba nyingi hasa wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2019 ni funzo kwamba chama hiki hakijiwezi.
Yaliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu hapo 2021 ni kielelezo kingine cha haramu ya chama hiki. Kwamba wasimamizi wanaingia na kura zilizopigwa tayar?
Asante mungu kwa kutenda maajabu yako