... na waganga wa huko wamejikita kutatua tatizo la mteja mmojammoja na sio kumaliza tatizo lote, kwa minajili ya kulinda ajira zao!
Russia ikitoweka Waunda silaha wa Marekani watakula wapi? 🤣
Serikali wanaua fisi waliokuwa wanasumbua wananchi na hata wewe umeona fisi physically by your naked eyes, sasa huo uchawi unaousema serikali inajiingiza ni upi?