Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... na waganga wa huko wamejikita kutatua tatizo la mteja mmojammoja na sio kumaliza tatizo lote, kwa minajili ya kulinda ajira zao!Itirima huko kuna matatizo mengi yani huko waganga ni wengi kuliko wakazi wa kawaida . Kiufupi ni kwamba hapo kulitokea tatizo la kiufundi.
Russia ikitoweka Waunda silaha wa Marekani watakula wapi?
🤣