Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose.
Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi.
Inakuwaje mtu anatunza fisi na hadi kuiwekea alama, ina maana wako wengi sana wanaofugwa lakini pia hii inamaanisha inamnufaisha kwa mambo yake anayojua mwenyewe so hataki ipotee kirahisi rahisi
SOMA PIA:
www.jamiiforums.com

Fisi aliyeuliwa amekutwa na chapa ya jina kwenye paja lake
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la...