Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
5,146
Reaction score
15,927
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.

Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.

Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.

Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama :Clueless: "
 
uzi wako ni takataka .mbona mnakuja kutoa mataamko si ungekaa kimya kama poronjo wa kinondoni
Either wewe ni mnufaika wa hao waliomtuma Gwajima kuja na hiyo sinema, au ujinga wako ni wa kiwango cha kustaajabisha.

Wewe unadhani una fit wapi kati ya hizo option mbili?
 
Asante Kwa kulitambua hilo, ni upofu mkubwa kwa watu kutolitambua hilo..
Hiyo ni propaganda kama nyingine za kupambana na NRNE
Absolutely. Tena huyo jamaa sio mara ya kwanza wanamtumia kufanya hivyo.
 
Ccm yakutoa kashfa ya utekaji kwa mamlaka?
Hakuna kipya ataongea. Mambo yote anayoongea kila mtu anayajua.

Baada ya hapo itakuwa ni malumbano tu leo kamjibu huyu, yule kamjibu tena n.k na wote wanaojibizana na CCM!
 
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.

Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.

Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.

Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama :Clueless: "
Hio ndo maana ya siasa, mchezo mchafu
 
Hata Mimi nimeona. Ila mmh yule mama angekubali ku risk hivi kubwatukiwa kuhusu hii ishu kisa iwapoteze maboya watanzania
 
Nakubali...

Yani kati ya watu Milioni 60+
Mbwekaji GwajiBoy pekee...

Hivi ndo maana Wakenya wanatutukana sana. !
 
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.

Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.

Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.

Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama :Clueless: "
Kama kasema no kwa utekaji na mauaji kwetu kenge inatosha mengine kaa nayo tu hayatuhusu, kila anayesema kuhusu watu kuvunjiwa milango na kuchukuliwa vyumbani kwao kwenda kuuawa ni mwenzetu ukiona haikuhusu achana naye tu maisha yaendelee, sisi kenge tupo naye tu, period chawa
 
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.

Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.

Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.

Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama :Clueless: "
Uongo!
 
Binafsi nililiona hili mapema sana.
 
Wana lengo la kuupunguza makali mjadala wa no reform no election. CCM wanazo mbinu zote, chafu na safi.
 
Kuna mtu ni propaganda Gwajima hawezi kushindana na Rais kwanza siku ile angevuliwa Uanachama na Mwenyekiti ni sinema
 
Sinema huwa zipo na zinatengenezwa lakini kamwe haitotokea sinema itakayotengenezwa katika hali ya kuharibu taswira ya rais.

Sijui kama tangu press ya kwanza ya Gwajima umemsikiliza kwa makini na kuelewa anachojaribu kuueleza umma na alichosema tena leo, kama una fikiri sawasawa huwezi kusema ni sinema ya chama kufifisha lolote.

Hakuna jambo kubwa nchini kiasi cha kutaka kulifunika kwa njia inayogusa taswira ya rais katika hali hasi.
​
 
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.

Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.

Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.

Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama :Clueless: "
Vyovyote vile

Hoja kuu za Gwajima zinagusa hoja kuu ya Chadema kuhusu Reforms za Katiba na Sheria.

Ni vyema saivi mamlaka ya Rais kuteua na kutengua Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama yakawekewa utaratibu wa kupimwa na Bunge Kikatiba na Kisheria.

Matatizo ya Utekaji na Mauaji ya Watanzania wenzetu yanatokea kwa sababu hatuna misingi ya kisheria kuzuia vitendo hivyo.

Tunaomuunga mkono Gwajima tunafanya hivyo kwa sababu anaongea hoja kuu ya No Reforms No Election.
 
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.

Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.

Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.

Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama :Clueless: "
Kweli kabisa mkuu no reform no election ndo habari ya mjini kwa wananchi wanataka watuhamishe kwa kamgogoro ka uongo wananchi achaneni nao waongo hao
 
Back
Top Bottom