Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 837
Umepost takataka aka rubbish issue ya Gwajiboy tutaifatilia sana tu
Kwani watu hawatekwi na kuuawa?Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Mjadala upo palepale.Wana lengo la kuupunguza makali mjadala wa no reform no election. CCM wanazo mbinu zote, chafu na safi.
naomba nimchagulie sehemu anayofit ndugu huyuEither wewe ni mnufaika wa hao waliomtuma Gwajima kuja na hiyo sinema, au ujinga wako ni wa kiwango cha kustaajabisha.
Wewe unadhani una fit wapi kati ya hizo option mbili?
CCM wameshaiweka wazi ilani yao ya uchaguzi, hao wanaokuja na slogan wanacho chochote kwenye maandishi?.Mjadala upo palepale.
Ndani ya hoja ya Gwajima imo No reforms no election
Good propaganda anakuwa karibu kabisa na ukweli, tofauti inakuja kwenye malengo.Kwani watu hawatekwi na kuuawa?
Hii ni ileile ya kuleta vyeti vya Makonda. If anything they are probably good friends.![]()
1.7M views · 10K reactions | Gwajima atishia kuanika madudu ya kutisha endapo watekaji wataendelea kumfata fata | Habari 24
Gwajima atishia kuanika madudu ya kutisha endapo watekaji wataendelea kumfata fatawww.facebook.com
Kwa mbaali nakuelewaHakuna kipya ataongea. Mambo yote anayoongea kila mtu anayajua.
Baada ya hapo itakuwa ni malumbano tu leo kamjibu huyu, yule kamjibu tena n.k na wote wanaojibizana na CCM!
Kwa kifupi ni kwamba wewe akili zako na uwezo wako wa kufikri ni mdogo sana kiasi kwamba hata kujua tu unafikilia nini hujui.Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Hii ni ileile ya kuleta vyeti vya Makonda. If anything they are probably good friends.
Ni jambo jema, lakini CDM wasije kufanya kosa la kuacha Gwajima awe msemaji / mtetezi wao.Vyovyote vile
Hoja kuu za Gwajima zinagusa hoja kuu ya Chadema kuhusu Reforms za Katiba na Sheria.
Ni vyema saivi mamlaka ya Rais kuteua na kutengua Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama yakawekewa utaratibu wa kupimwa na Bunge Kikatiba na Kisheria.
Matatizo ya Utekaji na Mauaji ya Watanzania wenzetu yanatokea kwa sababu hatuna misingi ya kisheria kuzuia vitendo hivyo.
Tunaomuunga mkono Gwajima tunafanya hivyo kwa sababu anaongea hoja kuu ya No Reforms No Election.
You are very genius memberInakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
anawaotea mlangoni ..awapeleke chaka.. . .. ..! .. .. MCC ..wana jua sience ya siasa.. ..Ni jambo jema, lakini CDM wasije kufanya kosa la kuacha Gwajima awe msemaji / mtetezi wao.
Alifanya hivi wakati wa JPM na story ikawa ni Gwaji vs Makonda, wakati wote ni waajiriwa wa taasisi moja!
Mmoja ni RC ma mwingine ni mbunge tena wa mbeleko ya mfumo kabisa.
CDM waendelee kishikilia hapohapo.