Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Either wewe ni mnufaika wa hao waliomtuma Gwajima kuja na hiyo sinema, au ujinga wako ni wa kiwango cha kustaajabisha.uzi wako ni takataka .mbona mnakuja kutoa mataamko si ungekaa kimya kama poronjo wa kinondoni
Absolutely. Tena huyo jamaa sio mara ya kwanza wanamtumia kufanya hivyo.Asante Kwa kulitambua hilo, ni upofu mkubwa kwa watu kutolitambua hilo..
Hiyo ni propaganda kama nyingine za kupambana na NRNE
Hakuna kipya ataongea. Mambo yote anayoongea kila mtu anayajua.Ccm yakutoa kashfa ya utekaji kwa mamlaka?
Hio ndo maana ya siasa, mchezo mchafuInakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Kama kasema no kwa utekaji na mauaji kwetu kenge inatosha mengine kaa nayo tu hayatuhusu, kila anayesema kuhusu watu kuvunjiwa milango na kuchukuliwa vyumbani kwao kwenda kuuawa ni mwenzetu ukiona haikuhusu achana naye tu maisha yaendelee, sisi kenge tupo naye tu, period chawaInakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Uongo!Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Binafsi nililiona hili mapema sana.Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Wana lengo la kuupunguza makali mjadala wa no reform no election. CCM wanazo mbinu zote, chafu na safi.Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Vyovyote vileInakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye ukweli ndani yake, hiyo sio point. The point ni CCM na dola kuwa na control ya mijadala na akili za watu. Kitu ambacho walianza kupoteza miezi michache iliyopita.
Hata sarakasi za Simba na Yanga zilishindwa kuzaa matunda. Sasa wanakwenda kutengeneza ka mgogoro ndani ya chama alafu wabongo matumaini yenu yote mtayahamishia huko kwa wanaoitwa "wapinzani ndani ya chama"
Kweli kabisa mkuu no reform no election ndo habari ya mjini kwa wananchi wanataka watuhamishe kwa kamgogoro ka uongo wananchi achaneni nao waongo haoInakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.