Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

Kwani watu hawatekwi na kuuawa?
 
Kwani watu hawatekwi na kuuawa?
Good propaganda anakuwa karibu kabisa na ukweli, tofauti inakuja kwenye malengo.

Lengo la msingi la Gwajima sio kukemea wala kukomesha utekaji. Alikuwa na nafasi nzuri ya kufanya hivyo bungeni, tena akiwa na kinga.

Lengo ni kutake control ya narrative na kuitumia kama distraction kwa jamii.
 
Kwa kifupi ni kwamba wewe akili zako na uwezo wako wa kufikri ni mdogo sana kiasi kwamba hata kujua tu unafikilia nini hujui.
Pili inawezekana imekuuma sana sana na wewe kwa namna moja ni mnufaika wa utekaji! [Wewe ni Team January Makamba, ama Team Msoga ama Team Mbowe ]
 
Ni jambo jema, lakini CDM wasije kufanya kosa la kuacha Gwajima awe msemaji / mtetezi wao.

Alifanya hivi wakati wa JPM na story ikawa ni Gwaji vs Makonda, wakati wote ni waajiriwa wa taasisi moja!

Mmoja ni RC ma mwingine ni mbunge tena wa mbeleko ya mfumo kabisa.

CDM waendelee kishikilia hapohapo.
 
You are very genius member
 
anawaotea mlangoni ..awapeleke chaka.. . .. ..! .. .. MCC ..wana jua sience ya siasa.. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…