Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?