Hii ya Rais Samia kupendelea Zanzibar ina ukweli? Je, kila Rais akipendelea kwao tutafika?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
 
Tatizo siyo raisi bali ni jamii yetu low IQ sana, mfano Kiongozi asipoiba na kujenga kwao anachekwa na jamii, ni mara ngapi unasikia Kiongozi akichekwa na kudharauliwa kwa sababu hakuiba na hakujenga kwao ?

Mkapa alienda kustaafia Lushoto alisimangwa sana, kwa nini unafikiri?

Tatizo ni jamii yetu tuna low IQ, low intelligence sasa inakwenda kuakisi matendo yetu kila mahali.

Leo hii ukifiwa wanaokuja kwenye msiba hawaji kukupa pole bali wanakuja kula na kuangalia kama umejenga kwenu.

Wastani wa IQ Tanzania ni 80 vs Dunia 90.

Go figure!
 
Hii tabia aliiasisisi Magufuli na utetezi ukawa ni kuwa kwani Chato sio Tanzania? Tulisema Magufuli anatengeneza precidence mbaya kwani hakuna rais atakayeacha kupendelea kwao. Sasa uhalisia unazidi kukaa peupe na madhara yake ni bayana. Wakati tunasema matumizi yake mabaya ya madaraka nyie watetezi wake mlikuwa mnasema tuna chuki naye.
 
Wakati Chato ikiendelezwa kwa spidi ya 5G mbona hukufungua domo? Heri anayendeleza kisiwa kizima kuliko aliyekuwa anayendeleza Kijiji chake tuu?
 
Tatizo siyo raisi bali ni jamii yetu low IQ sana, mfano Kiongozi asipoiba na kujenga kwao anachekwa na jamii, ni mara ngapi unasikia Kiongozi akichekwa na kudharauliwa kwa sababu hakuiba na hakujenga kwao ?

Mkapa alienda kustaafia Lushoto alisimangwa sana, kwa nini unafikiri?

Tatizo ni jamii yetu tuna low IQ, low intelligence sasa inakwenda kuakisi matendo yetu kila mahali.

Leo hii ukifiwa wanaokuja kwenye msiba hawaji kukupa pole bali wanakuja kula na kuangalia kama umejenga kwenu.

Wastani wa IQ Tanzania ni 80 vs Dunia 90.

Go figure!

Hao viongozi wanaogopa kuchekwa ndio maana wanapendelea kwao waziwazi? Mbona hawaleti huduma muhimu za jamii kama wanaogopwa kuchekwa?
 
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Kwa nini hamkusema kuhusu kujenga Chato kuwa jiji?
 
Hii tabia aliiasisisi Magufuli na utetezi ukawa ni kuwa kwani Chato sio Tanzania? Tulisema Magufuli anatengeneza precidence mbaya kwani hakuna rais atakayeacha kupendelea kwao. Sasa uhalisia unazidi kukaa peupe na madhara yake ni bayana. Wakati tunasema matumizi yake mabaya ya madaraka nyie watetezi wake mlikuwa mnasema tuna chuki naye.
Umesema kweli tupu sisi Watanzania ni wanafiki sana ilipokuwa inapendelewa miradi mbalimbali ya kitaifa tabia ile iliitwa uzalendo sasa Zanzibar inajengwa kunaibuka minong'ono wakati na kule ni Tanzania.
 
Hao viongozi wanaogopa kuchekwa ndio maana wanapendelea kwao waziwazi? Mbona hawaleti huduma muhimu za jamii kama wanaogopwa kuchekwa?

Swali zuri hata mimi sina jibu, lkn Viongozi ni taswira ya jamii husika, ni kawaida Tanzania kuchekwa kwa kutokujenga kwenu, sasa labda tuanzie hapo, ni kwa nini iwe hivyo ?

Kama sisi ni Taifa moja, kwa nini nilazimishwe au kushinikizwa au kupangiwa na jamii nikajenge“kwetu“ na siyo popote pale kwenye Ardhi ya Taifa langu ninapoamua ?
 
Magufuli alipokuwa anapendelea Chato ulikumbuka kukemea?
Chato palianza kujengwa kabla hata ya hakuwa Rais kipindi ni Mbunge na Waziri wa Ujenzi.. Barabara na Taa za barabarini ziliwekwa wakati akiwa Bado ni Waziri wa Ujenzi, hospital na kadhalika.. mmekujua kuijua Chato nadhani ni baada ya yeye kuwa Rais mkadhani vyote kavifanya wakati wa Urais wake hapana sio sahihi!

Tangu mwanzo alikuwa ana fikra za kuboresha Jimbo lake ndio maana ni Moja ya wilaya zenye barabara nyingi..

Tuacheni siasa penye ukweli..
 
Kwa hiyo mbunge tangu mwanzo akawa na fikra za kuboresha jimboni kwake halafu akawa Rais kisha akaanza kuhamishia rasilimali za nchi kwake hata kama hakuna vigezo vya economic viability siyo kupendelea kwake?

Unaelewa kuwa reli ya SGR kwa kuzingatia vigezo vya uchumi ilipaswa kwenda Kigoma ila Bwana Chato akakomaa kuwa iende Mwanza?
 
Upumbavu wenu unalimega Taifa taratibu taratibu kwa sababu tu ya uroho wenu.Swali la kizushi,Je uwanja wa ndege,mbuga ya Burigi,ikulu na mambo mengine yalifanywa kabla ya mwendazake kuwa Rais?
 
Hii tabia aliiasisisi Magufuli na utetezi ukawa ni kuwa kwani Chato sio Tanzania? Tulisema Magufuli anatengeneza precidence mbaya kwani hakuna rais atakayeacha kupendelea kwao. Sasa uhalisia unazidi kukaa peupe na madhara yake ni bayana. Wakati tunasema matumizi yake mabaya ya madaraka nyie watetezi wake mlikuwa mnasema tuna chuki naye.
Wewe Tindo nakujua una chuki na hayati JPM. Nini cha maana kimefanyika chato ambacho hakikufanyika pengine hata Tanzania.
 
Kwa hiyo mbunge tangu mwanzo akawa na fikra za kuboresha jimboni kwake halafu akawa Rais kisha akaanza kuhamishia rasilimali za nchi kwake hata kama hakuna vigezo vya economic viability siyo kupendelea kwake?

Unaelewa kuwa reli ya SGR kwa kuzingatia vigezo vya uchumi ilipaswa kwenda Kigoma ila Bwana Chato akakomaa kuwa iende Mwanza?
Pointless.
 
Huwezi ona kwa sababu ulikuwa unaongozwa na kiongozi kipofu na akakuachia upofu mpaka pale utakapobatizwa upya kwenye mto YORDANI utafunuliwa yote.
Reli ya Sgr kwenda mwanza ni upendeleo? Yaliyofanyika Chato ni upendeleo? Chato hii ambayo haina lolote?
 
Back
Top Bottom