Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupeleka Sgr Mza kabla ya Kigoma ni kupendelea Chato? Hayati alikuwa mbunge kwa miaka 20 alifanya makosa kuleta maendealeo Chato? Chato ipo kama wilaya zingine tu.Pointless ni kudai kuwa argument fulani ni pointless bila ya kutoa sababu ni kwa nini ni pointless.
Upendeleo unaodaiwa wa kupeleka bil 200 kwa watu mil 1.7? Kwa nini tozo zisiwahudumie taratibu bila kuwapa watanganyika jasho la kulipa mikopo. Tumia akili we jamaa, acha chuki.Ni kipi cha ajabu kinachofanyika Znz ambacho hakijafanyika kwingine mpaka ulete bandiko lako la kulialia?
Katiba mpya ndio muarobainiKwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Mimi ni mtu wa bara lakini huu ni muendelezo wa yale 'mema' ya Jiwe jinsi alivyokuwa akipendelea Chato, hakuna ubaya wowote kwa enzi zile tulijibiwa kwani Chato siyo Tanzania na hali kadhalika kwani Zanzibar siyo Tanzania.Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Chato ina nini acha kusikia ya watu bila kuona. hayati JPM alisambaza maendeleo pote Tanzania nzima.Mimi ni mtu wa bara lakini huu ni muendelezo wa yale 'mema' ya Jiwe jinsi alivyokuwa akipendelea Chato, hakuna ubaya wowote kwa enzi zile tulijibiwa kwani Chato siyo Tanzania na hali kadhalika kwani Zanzibar siyo Tanzania.
Zamu yao acha watese, suluhisho ya upuuzi wote huu ni katiba mpya kwani kila kitu kinapaswa kuainishwa kwenye katika hata haya mambo ya mgawanyo wa misaada, madeni na mambo mengine yote yanayosababisha sintofahamu.
Migawanyo inapaswa kuwiana na population ya eneo husika.
Chato iliyofanyiwa kila mbinu mpaka ikawa Wilaya, Chato hii wanayolazimisha iwe mkoa wakati haina vigezo kisa tu ndiyo ilikuwa wish ya Jiwe.Kupeleka Sgr Mza kabla ya Kigoma ni kupendelea Chato? Hayati alikuwa mbunge kwa miaka 20 alifanya makosa kuleta maendealeo Chato? Chato ipo kama wilaya zingine tu.
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kufikiri kama unavyo fikiri.Chato iliyofanyiwa kila mbinu mpaka ikawa Wilaya, Chato hii wanayolazimisha iwe mkoa wakati haina vigezo kisa tu ndiyo ilikuwa wish ya Jiwe.
Jiwe alikuwa na upendeleo wa waziwazi na wapumbavu walilitetea hilo, sasa ile mbegu aliyopanda imekua kwani wanaopokea kijiti itakuwa ni kuendeleza upuuzi huo ambao muasisi wake ni Mwendazake.
Kwa hiyo mbunge tangu mwanzo akawa na fikra za kuboresha jimboni kwake halafu akawa Rais kisha akaanza kuhamishia rasilimali za nchi kwake hata kama hakuna vigezo vya economic viability siyo kupendelea kwake?
Unaelewa kuwa reli ya SGR kwa kuzingatia vigezo vya uchumi ilipaswa kwenda Kigoma ila Bwana Chato akakomaa kuwa iende Mwanza?
Acha kujitoa ufahamu, tuone hiyo Airport, hizo banks, kuweka traffic lights wakati mikokoteni ndiyo mingi zaidi ya magari.Chato ina nini acha kusikia ya watu bila kuona. hayati JPM alisambaza maendeleo pote Tanzania nzima.
mlimsifia jiwe hadi mkasema sasa chato itakua kitovu cha utalii, mwache mama afanye kazi.Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Mabaya mengi yameachwa, watu hawatekwi tena, mauaji yaliyokuwa yakifanywa na wasiojulikana hayapo tena. Mazandiki waliokuwa wakilindwa na utawala ule wa kidhalimu at least tunaanza kuona sheria ikichukua mkondo wake dhidi yao to mention just few cases.Ni upumbavu wa kiwango cha juu kufikiri kama unavyo fikiri.
Hicho kichwa kingekuwa changu ningekifungia jiwe shingoni nikakitosa baharini.
Mambo mangap awamu hii yallisimamiwa na Magufuli vtena mazuri na yamebadilishwa?
Mabaya yake tu ndio yanaendelezwa?
Mtu wa miaka zaidi ya sitini anashindwa kujua baya na jema mpaka awe anafuata tu yawatangulizi wake?
Kwanini hamtaki Samia abebe msalaba wake?
Kachukue buk7 kwa Shaka.Mabaya mengi yameachwa, watu hawatekwi tena, mauaji yaliyokuwa yakifanywa na wasiojulikana hayapo tena. Mazandiki waliokuwa wakilindwa na utawala ule wa kidhalimu at least tunaanza kuona sheria ikichukua mkondo wake dhidi yao to mention just few cases.
Hivyo bichwa lako ndiyo inabidi liwe examined au ling'ofolewe kabisa kwa jinsi lilivyo useless.
Wala siishi nchi lenu la vumbi na hao unaowataja unawajua mwenyewe na uzao wako.Kachukue mshahara wako kwa Shaka.
Magufuli hachafuki kizembe keyboardworrier umeskia?
Yule mungu wenu alivyokuwa akiipendelea Chatu mlikuwa kimya wala hamkuona tatizo lakini leo ndio mnawashwa washwa.Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Huyo muuaji, sadist na roho mbaya wala hakuna anayemchafua kwani alishajichafua mwenyewe na hasafishiki.Kachukue buk7 kwa Shaka.
Yote uliyoongea ni hearsay/udaku hauna justification zozote na huwa sijadili chochote
na watu wa aina yako tafta wambea wenzako,
Magufuli hachafuki kizembe keyboardworrier umeskia?
Wewe ni mpuuziYule mungu wenu alivyokuwa akiipendelea Chatu mlikuwa kimya wala hamkuona tatizo lakini leo ndio mnawashwa washwa.