Hii ya Rais Samia kupendelea Zanzibar ina ukweli? Je, kila Rais akipendelea kwao tutafika?

Pointless ni kudai kuwa argument fulani ni pointless bila ya kutoa sababu ni kwa nini ni pointless.
Kupeleka Sgr Mza kabla ya Kigoma ni kupendelea Chato? Hayati alikuwa mbunge kwa miaka 20 alifanya makosa kuleta maendealeo Chato? Chato ipo kama wilaya zingine tu.
 
Ni kipi cha ajabu kinachofanyika Znz ambacho hakijafanyika kwingine mpaka ulete bandiko lako la kulialia?
Upendeleo unaodaiwa wa kupeleka bil 200 kwa watu mil 1.7? Kwa nini tozo zisiwahudumie taratibu bila kuwapa watanganyika jasho la kulipa mikopo. Tumia akili we jamaa, acha chuki.
 
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Katiba mpya ndio muarobaini
 
Mimi ni mtu wa bara lakini huu ni muendelezo wa yale 'mema' ya Jiwe jinsi alivyokuwa akipendelea Chato, hakuna ubaya wowote kwa enzi zile tulijibiwa kwani Chato siyo Tanzania na hali kadhalika kwani Zanzibar siyo Tanzania.
Zamu yao acha watese, suluhisho ya upuuzi wote huu ni katiba mpya kwani kila kitu kinapaswa kuainishwa kwenye katika hata haya mambo ya mgawanyo wa misaada, madeni na mambo mengine yote yanayosababisha sintofahamu.
Migawanyo inapaswa kuwiana na population ya eneo husika.
 
Umeanzisha mada ukijua kabisa itakufunua tabia yako ya ubinafsi uliokithiri. Ni kweli kulikuwa na utetezi wa kijinga sana eti kwani chato iko wapi? Tunapaswa kukemea tabia za ovyo hata Kama tunanufaika nazo mapema kabla hajikomaa, Sasa kila atakayetaka uongozi atategemea na wingi wa ndugu zake ili ashinde. RIP Mwl. Nyerere.
 
Mimi ni mtu wa bara lakini huu ni muendelezo wa yale 'mema' ya Jiwe jinsi alivyokuwa akipendelea Chato, hakuna ubaya wowote kwa enzi zile tulijibiwa kwani Chato siyo Tanzania na hali kadhalika kwani Zanzibar siyo Tanzania.
Zamu yao acha watese, suluhisho ya upuuzi wote huu ni katiba mpya kwani kila kitu kinapaswa kuainishwa kwenye katika hata haya mambo ya mgawanyo wa misaada, madeni na mambo mengine yote yanayosababisha sintofahamu.
Migawanyo inapaswa kuwiana na population ya eneo husika.
Chato ina nini acha kusikia ya watu bila kuona. hayati JPM alisambaza maendeleo pote Tanzania nzima.
 
Kupeleka Sgr Mza kabla ya Kigoma ni kupendelea Chato? Hayati alikuwa mbunge kwa miaka 20 alifanya makosa kuleta maendealeo Chato? Chato ipo kama wilaya zingine tu.
Chato iliyofanyiwa kila mbinu mpaka ikawa Wilaya, Chato hii wanayolazimisha iwe mkoa wakati haina vigezo kisa tu ndiyo ilikuwa wish ya Jiwe.
Jiwe alikuwa na upendeleo wa waziwazi na wapumbavu walilitetea hilo, sasa ile mbegu aliyopanda imekua kwani wanaopokea kijiti itakuwa ni kuendeleza upuuzi huo ambao muasisi wake ni Mwendazake.
 
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kufikiri kama unavyo fikiri.
Hicho kichwa kingekuwa changu ningekifungia jiwe shingoni nikakitosa baharini.
Mambo mangap awamu hii yallisimamiwa na Magufuli vtena mazuri na yamebadilishwa?
Mabaya yake tu ndio yanaendelezwa?
Mtu wa miaka zaidi ya sitini anashindwa kujua baya na jema mpaka awe anafuata tu yawatangulizi wake?
Kwanini hamtaki Samia abebe msalaba wake?
 
Nyinyi mnajidanganya sana kigoma kuna mzigo gani wa maana kule? Ni siasa uchwara tu!
Kwa hiyo mbunge tangu mwanzo akawa na fikra za kuboresha jimboni kwake halafu akawa Rais kisha akaanza kuhamishia rasilimali za nchi kwake hata kama hakuna vigezo vya economic viability siyo kupendelea kwake?

Unaelewa kuwa reli ya SGR kwa kuzingatia vigezo vya uchumi ilipaswa kwenda Kigoma ila Bwana Chato akakomaa kuwa iende Mwanza?
 
Chato ina nini acha kusikia ya watu bila kuona. hayati JPM alisambaza maendeleo pote Tanzania nzima.
Acha kujitoa ufahamu, tuone hiyo Airport, hizo banks, kuweka traffic lights wakati mikokoteni ndiyo mingi zaidi ya magari.
Sijui hizo projects nyingine za kubwa kama zitaendelea au la, lakini nakumbuka humu humu tulikuwa tukijibiwa kwani Chato siyo Tanzania na hakuna aliyekuwa akitetea(back then) kuwa hakuna projects za upendeleo bali ilidaiwa ule upendeleo ulikuwa justifiable kwani hata Chato ni Tanzania pia.
 
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
mlimsifia jiwe hadi mkasema sasa chato itakua kitovu cha utalii, mwache mama afanye kazi.
 
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kufikiri kama unavyo fikiri.
Hicho kichwa kingekuwa changu ningekifungia jiwe shingoni nikakitosa baharini.
Mambo mangap awamu hii yallisimamiwa na Magufuli vtena mazuri na yamebadilishwa?
Mabaya yake tu ndio yanaendelezwa?
Mtu wa miaka zaidi ya sitini anashindwa kujua baya na jema mpaka awe anafuata tu yawatangulizi wake?
Kwanini hamtaki Samia abebe msalaba wake?
Mabaya mengi yameachwa, watu hawatekwi tena, mauaji yaliyokuwa yakifanywa na wasiojulikana hayapo tena. Mazandiki waliokuwa wakilindwa na utawala ule wa kidhalimu at least tunaanza kuona sheria ikichukua mkondo wake dhidi yao to mention just few cases.
Hivyo bichwa lako ndiyo inabidi liwe examined au ling'ofolewe kabisa kwa jinsi lilivyo useless.
 
Kachukue buk7 kwa Shaka.
Yote uliyoongea ni hearsay/udaku hauna justification zozote na huwa sijadili chochote
na watu wa aina yako tafta wambea wenzako,
Magufuli hachafuki kizembe keyboardworrier umeskia?
 
Kachukue mshahara wako kwa Shaka.
Magufuli hachafuki kizembe keyboardworrier umeskia?
Wala siishi nchi lenu la vumbi na hao unaowataja unawajua mwenyewe na uzao wako.
Jibu hoja kwani ukweli hata kama ni ukweli mchungu inabidi usemwe tu, kama unadhani kila mchangiaji anachangia kwa mrengo wa kisiasa ina maana uwezo wako kiakili ni mdogo na haustahili kujadili hoja zinazohitaji tafakuri.
 
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Yule mungu wenu alivyokuwa akiipendelea Chatu mlikuwa kimya wala hamkuona tatizo lakini leo ndio mnawashwa washwa.
 
Kachukue buk7 kwa Shaka.
Yote uliyoongea ni hearsay/udaku hauna justification zozote na huwa sijadili chochote
na watu wa aina yako tafta wambea wenzako,
Magufuli hachafuki kizembe keyboardworrier umeskia?
Huyo muuaji, sadist na roho mbaya wala hakuna anayemchafua kwani alishajichafua mwenyewe na hasafishiki.
 
Back
Top Bottom