LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Aisee una logic ila kama mtu hana D ya hesabu hawez elewa. Kawachelewesha watu kwenda shule, kanisani, hospitali, kwenye biashara zako ili awahi foleni ya kujiandikisha aje kupanga mstari akiwa kama mtu wa 20 ivi , this is so illogical na hii inaonyesha kuwa hawa jamaa wako kwa ajili ya maslai yao binafsi
SIjui wanatuonaje hawa watu
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Hahahaah ukiangalia vizuri kwenye foleni ni wazee watupu, what does this imply???
 
Wanasiasa kila wakiona kamera,zinashuka chini! Kwa kuwa naye ni mwanasiasa wala hili halifikirishi
 
Camera zingemfata popote hata asingepanga foleni tungejua amejiandikisha
 
Utaratibu wa kupata kitambulisho chake cha upiga kura upoje maana nimejiandisha lakini sina kitambulisho.
 
Nadhani kulikuwa na muda wa kuboresha daftari la wapiga kura. Muda umeisha..
Bila kitambulisho utapigaje kura? Subiri wataalam waje kukupa jibu
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Angetaka kwenda mbele ya msitari angeweza.
na pia sio hawakumpisha bali yeye aliamua hivyo.

Kwani akina Nyerere na Alihassan mwinyi siwalifanya kama hivyo.
 
1729009641783.png
 
Angetaka kwenda mbele ya msitari angeweza.
na pia sio hawakumpisha bali yeye aliamua hivyo.

Kwani akina Nyerere na Alihassan mwinyi siwalifanya kama hivyo.
Wewe ulikuwepo wakati anaamua?
 
Back
Top Bottom