Kichekesho kwa Sababu kafanya Samia. Lakini Nyerere , Mkapa , Magufuli wote walifanya hivyo na hakuna alosema.So?
Kama alipishwa barabarani halafu hapa akaja kupanga foleni bado kichekesho ni kile kile
Wacheni chuki za kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichekesho kwa Sababu kafanya Samia. Lakini Nyerere , Mkapa , Magufuli wote walifanya hivyo na hakuna alosema.So?
Kama alipishwa barabarani halafu hapa akaja kupanga foleni bado kichekesho ni kile kile
Hivi sasa kufuga chawa na vyawa ndio mtindo mupya Mwl. aliweza kumuumbua chawa bila kujali kama masihara ila chawa au vyawa wamesha umbuka.Mfano anatembelea eneo lako la kazi unaanda mazingira tofauti na uhalisia wa siku zote.Tarajia kuumbuka nje nje,sii wakati huu wa miradi ya ufugaji chawa.Kichekesho kwa Sababu kafanya Samia. Lakini Nyerere , Mkapa , Magufuli wote walifanya hivyo na hakuna alosema.
Wacheni chuki za kijinga
Kila mtu alisemwa kwa muda wake. Huu ni muda wa samia.Kichekesho kwa Sababu kafanya Samia. Lakini Nyerere , Mkapa , Magufuli wote walifanya hivyo na hakuna alosema.
Wacheni chuki za kijinga