LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umenikumbusha mbali sana
Watoto wadogo kama hawa wakina Tlaatlaah hawawawezi
Kujua haya mambo

Ova
chuki binafsi ni kitu mbaya sana kuishi nacho moyoni, ni kama kutu tu,

Baba wa Taifa hayati JK Nyerere alikaa foleni vizuri tu kwenye kupiga kura, kupokea Sacramento au hata kutoa sadaka kanisani na maeneo mengine 🐒

eti mjamaa anajipendekeza kushangaa Dr Samia suluhu Hassan kukaa foleni kujiandikisha 🤣
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Front page zichafuke ,
 
Lengo ni kuhamasisha watu wengine wafanye kama yeye alivyo Fanya kwenda kujiandikisha (demonstration) ni kama vile uone mheshimiwa flani anapanda Mti siku ya mvua huku ameshikiwa mwamvuli, alafu baada ya hapo anachukiwa lile kane anajifanya anamwagilia ule mti maji ,siasa ni usaniii sanii flani hivi.
 
Kuna mlevi alisema juzi kijiweni kwetu eti usiwaone hao waliopanga foleni kawaida tu NI MAAFISA WA TISS
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Hayo

Hayo ni maigizo ya wanasiasa,hakuna la kushangaza hapo.Tunapoelekea uchaguzi lazima usikie maigizo kila sehemu.Mara,kiongozi fulani aingia kwenye mkutano kwa baiskeli,mara aingia mgahawani na kula na wateja huku amekalia benchi,mara,kiongozi fulani asimamisha msafara wake ili watembea kwa miguu wapite....
Drama kila ukikaribia uchaguzi.
 
Hayo

Hayo ni maigizo ya wanasiasa,hakuna la kushangaza hapo.Tunapoelekea uchaguzi lazima usikie maigizo kila sehemu.Mara,kiongozo fulani aingia kwenye mkutano kwa baiskeli,mara aingia mgahawani na kula na wateja huku amelalia benchi,mara,kiongozi fulani asomamisha msafara wake ili watembea kwa miguu wapite....
Drama kila ukikaribia uchaguzi.
Vichekesho kila mahali😄
 
Kuna wajinga watasema hadi hao vikongwe kwenye foleni ni TISS
Kama wewe umewaza hivyo basi ukweli hao ni TISS hasa huyo mbaba wa mbele alie beba picha ya sa100. Picha ya nini sasa kama sio ushamba
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
wangempisha usingepata ya kuandika
 
Mimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?
Aisee una logic ila kama mtu hana D ya hesabu hawez elewa. Kawachelewesha watu kwenda shule, kanisani, hospitali, kwenye biashara zako ili awahi foleni ya kujiandikisha aje kupanga mstari akiwa kama mtu wa 20 ivi , this is so illogical na hii inaonyesha kuwa hawa jamaa wako kwa ajili ya maslai yao binafsi
 
Back
Top Bottom