LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Maigizo...
 
Kule barabarani tulivyosimamishwa muda mrefu ili apite, Tulisema kuwa wakubwa hawana utu, wanasababisha watu kuchelewa kwenye shughuli zao. Na kusababisha wagonjwa wachelewe kupata matibabu na pengine kupelekea kufa.

Hapo ndio mnapokosea na CCM inawashinda kwa kukosa maarifa ya siasa.

Fact in issue sio foleni ya magari au msafara wa Rais .

Unajua hata Lisu Kesho akiwa Rais misafara ya Barabarani itaongozwa na Polisi na hawataruhusu mwingiliano wa magari mengine kwenye msafara wa Rais wala wa Mwenge.

Hakuna mtu atafanya upumbavu yajirudie yale ya Sokoine .
Mwaka 1984 Vigari vilikuwa vichache sana lakini Sokoine aligongwa mchana kweupe. Kwa hiyo hayo mambo ya kuzuia madereva wazembe na wasiojali ili Msafara mrefu wa rais upite salama ni tofauti sana na foleni ya Dakika kumi ya uelekeo mmoja kwenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Waafrika hata huko Marekani na kwingineko wanapokua ndani ya gari au wanapoendesha chombo cha moto wanakua kama wendawazimu na wanakua kama walevi fulani hivi na kujiamini ,kiburi na dharau . Ukitaka Siku moja tu msafara ugongwe na serikali ipoteze wetu na magari basi acha kuzuia magari kama alivyosema Mpango kuwa magari yasizuiliwe. Kuna watu watataka Maka kuoverteki msafara na kuupita. Changamoto iliyopo ni ufinyu wa barabara tu lakini kwa barabara zetu zilivyo na aina ya madereva wenye stress za maisha kila kona hakuna namna zaidi ya polisi kuzuia janga kubwa.

Hata hivyo Fact in issue hapa ni Rais kupanga foleni ya kujiandikisha . Mimi nikasema kuwa ametumia tekniki kubwa sana ya kuvuta wanaCCM wote kwenda kujiandikisha wakati wapinzani watabaki kwenye mjadala mitandaoni ya kuponda kupanga foleni yeye atakua ameonyesha njia kwa wanachama wake kama mwenyekiti wa chama kuwa msimamo wa Chama ni wanachama wote kupanga Foleni bila kuangalia ni muda wa kazi au laa na kujiandikisha.
sasa kama Mwenyekiti amepanga foleni ni mwanachama yupi wa CCM ataacha kupanga foleni hata kutwa nzima.
CCM chini ya Samia ni chama kama vyama vingine tofauti ni maarifa ya siasa kwa mazingira ya watanganyika hapo ndipo wataamua nani ashinde na sio wizi wa kura. Hili halina ubishi. Ujinga ulianza tangu siku ile Kule Tanga wa Mbowe alipogeuka kuwa Baunsa wa Masauni na siku ile alipotaka kumtoa Samia Madarakani kwa maandamano wakati uchaguzi unakaribia. Lakini pia kosa likaja pale alipoandaa maandamano bila kuwa na safu ya kuweza kupandisha wananchi moyo wa kujitolea.

Siku nyingi sana tulishauri kuwa Chadema haijaweza bado kujenga mioyo ya watu katika kujitoa nafsi . Kujenga watu weusi moyo wa kujitoa uhai ni lazima ujibu shida zao kwanza. CCM ipo kama ilivyo kutokana na kutumia fedha sio kwamba watu wanaipenda .

Kizazi chenye Moyo ule wa mwanzo enzi za Mrema , Slaa ,Mtikila na Lipumba kimeshapia kwa sasa ni wazazi wenye familia na wategemezi .Lakini pia enzi zile Watu walikua wamepikwa sana kisasa na chama cha Mapinduzi ambako wengi walikua wametoka . Hata maandamano ya vyuo vikuu yalitokana na watu kuwa jasiri na wazalendo na kuandaliwa kizalendo na CCM ya miaka hiyo.

Kwa hiyo CCM wamepitia mambo mengi ya siasa nzuri na chafu ndani na nje ya chama kwa hiyo kupambana na CCM kindezi ndezi hamtoboi kamwe na kama mnategemea huruma ya CCM kutoboa mtakua hamna maana ya kuwa chama cha upinzani.
CCM hata upinzani wa ndani hauhurumiani kilaini laini bila msuli.

Kila kitu CCM wanakifanya kwa mikakati. Na kama Wapinzani hawatapata wabunge na madiwani na serikali za mitaa za kutosha mwaka huu basi nchi hii haitakuja kuwa na katiba bora milele maana watapitisha ile katiba pendekeza na ndiyo itakua katiba mpya lakini sio hivyo tu Samia atatawala mpaka 2035 . Hii miaka mitano haitahesabiwa na watashinda kesi mahakamani na mahaka itatoa hukumu kuwa Samia ana hali ya kugombea miaka kumi tangu siku ya kwanza kuapishwa baada ya kupigiwa kura kwa mujibu wa katiba iliyopo . Hii mambo ya awamu ya sita ni Janja iliyofanywa na magwiji wa sayansi ya siasa kama ninavyowadokeza kuwa CCM ni wanasayansi wa siasa Afrika nzima. Hamuelewi hata ninachowaeleza zaidi ya kuwa na kauli za kejeli wakati wengine tunataka kuona Nchi ikiondoka kwenye mikono ya familia ya watu Watanzania wanne tuu wakishirikiana na wawekezaji wa kigeni
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Uzi umekaa kisomi sana, Hongera kwa Uwasilishaji mzuri wenye ubongo wamekuelewa.

Inafikirisha sana hii Sinema.
 
nchi na nchi ni falme ambazo ni familia ya Mungu, haziwezi kulingana kwa chochote. Chuki ni pepo linalowaingia viongozi wa nchi hizo na huwa ni ishara ulevi wa madaraka, kiburi na kutokumuheshimi wala kumkufuru Mungu 🐒
Umemjibia vyema Samia na Sisiemu wenzio kiujumla, Kemeeni hilo pepo sasa kama Tatizo lenu mshalijua.
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399

Unaelewa maana ya ufunguzi?

Huo sasa ndio ufunguzi wa tukio

Kwaiyo hakuna alichokosea amefanya Sawa Sawa kabisa

Viongozi wote hufanya hivyo kwenye uzinduzi wa mambo kama hayo
 
Lengo la kupisha msafara ni suala la usalama.

Kupanga foleni kituoni, ni suala la heshima na utii.
 
Nadhani Madam Presidaa kafanya kitu kizuri sana kupanga foleni, maana kila mtu ana mishe zake, aliewahi kituoni ndie awe wa kwanza kuhudumiwa, safi sana
 
IMG-20241012-WA0105.jpg
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Ccm wanatuinaje lakini?

Ni kama vile wanatuina watz wote ni vilaza

Uchaguzi Gani Haina taasisi crebible ya kuusimamia alafu eti Kuna demokrasia?

Ni kwa Nini uchaguzi usimamishwe ili usimamiwr na tume huru mwakani

Kuna uharaka Gani kufanyika sasa kwenye mazingira tata

Hii haitaondoa uhali wake huko mbeleni tukatakiwa kuurudis chini ya tume huru??

Ccm uchu wa madaraka wanahangaika sana

sisi wazalendo tumekaa pembeni tunawacheki tu
Kukuru kakala zao lakini wajue hata kama watashinda kwa Hila ni kwa muda tu.

Tupindia Kila kitu hukobeleni
 
Mimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?
Hapo sasa?! 😂😅😆🤣😹😸🤭
USANII TU!
Kama kweli anajiona yuko sawa nasi basi, awe anakatiwa umeme, maji, asituweke barabarani masaa, apunguze msururu wa magari...
 
Sasa watu kutwa anazunguka na bongo movie. Watashindwaje kuendeleza usanii?
 
Hapo sasa?! 😂😅😆🤣😹😸🤭
USANII TU!
Kama kweli anajiona yuko sawa nasi basi, awe anakatiwa umeme, maji, asituweke barabarani masaa, apunguze msururu wa magari...
Hilo haliwezekani 😀😀
 
Unaelewa maana ya ufunguzi?

Huo sasa ndio ufunguzi wa tukio

Kwaiyo hakuna alichokosea amefanya Sawa Sawa kabisa

Viongozi wote hufanya hivyo kwenye uzinduzi wa mambo kama hayo
Basi sawaaaa
 
Hapo ndio mnapokosea na CCM inawashinda kwa kukosa maarifa ya siasa.

Fact in issue sio foleni ya magari au msafara wa Rais .

Unajua hata Lisu Kesho akiwa Rais misafara ya Barabarani itaongozwa na Polisi na hawataruhusu mwingiliano wa magari mengine kwenye msafara wa Rais wala wa Mwenge.

Hakuna mtu atafanya upumbavu yajirudie yale ya Sokoine .
Mwaka 1984 Vigari vilikuwa vichache sana lakini Sokoine aligongwa mchana kweupe. Kwa hiyo hayo mambo ya kuzuia madereva wazembe na wasiojali ili Msafara mrefu wa rais upite salama ni tofauti sana na foleni ya Dakika kumi ya uelekeo mmoja kwenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Waafrika hata huko Marekani na kwingineko wanapokua ndani ya gari au wanapoendesha chombo cha moto wanakua kama wendawazimu na wanakua kama walevi fulani hivi na kujiamini ,kiburi na dharau . Ukitaka Siku moja tu msafara ugongwe na serikali ipoteze wetu na magari basi acha kuzuia magari kama alivyosema Mpango kuwa magari yasizuiliwe. Kuna watu watataka Maka kuoverteki msafara na kuupita. Changamoto iliyopo ni ufinyu wa barabara tu lakini kwa barabara zetu zilivyo na aina ya madereva wenye stress za maisha kila kona hakuna namna zaidi ya polisi kuzuia janga kubwa.

Hata hivyo Fact in issue hapa ni Rais kupanga foleni ya kujiandikisha . Mimi nikasema kuwa ametumia tekniki kubwa sana ya kuvuta wanaCCM wote kwenda kujiandikisha wakati wapinzani watabaki kwenye mjadala mitandaoni ya kuponda kupanga foleni yeye atakua ameonyesha njia kwa wanachama wake kama mwenyekiti wa chama kuwa msimamo wa Chama ni wanachama wote kupanga Foleni bila kuangalia ni muda wa kazi au laa na kujiandikisha.
sasa kama Mwenyekiti amepanga foleni ni mwanachama yupi wa CCM ataacha kupanga foleni hata kutwa nzima.
CCM chini ya Samia ni chama kama vyama vingine tofauti ni maarifa ya siasa kwa mazingira ya watanganyika hapo ndipo wataamua nani ashinde na sio wizi wa kura. Hili halina ubishi. Ujinga ulianza tangu siku ile Kule Tanga wa Mbowe alipogeuka kuwa Baunsa wa Masauni na siku ile alipotaka kumtoa Samia Madarakani kwa maandamano wakati uchaguzi unakaribia. Lakini pia kosa likaja pale alipoandaa maandamano bila kuwa na safu ya kuweza kupandisha wananchi moyo wa kujitolea.

Siku nyingi sana tulishauri kuwa Chadema haijaweza bado kujenga mioyo ya watu katika kujitoa nafsi . Kujenga watu weusi moyo wa kujitoa uhai ni lazima ujibu shida zao kwanza. CCM ipo kama ilivyo kutokana na kutumia fedha sio kwamba watu wanaipenda .

Kizazi chenye Moyo ule wa mwanzo enzi za Mrema , Slaa ,Mtikila na Lipumba kimeshapia kwa sasa ni wazazi wenye familia na wategemezi .Lakini pia enzi zile Watu walikua wamepikwa sana kisasa na chama cha Mapinduzi ambako wengi walikua wametoka . Hata maandamano ya vyuo vikuu yalitokana na watu kuwa jasiri na wazalendo na kuandaliwa kizalendo na CCM ya miaka hiyo.

Kwa hiyo CCM wamepitia mambo mengi ya siasa nzuri na chafu ndani na nje ya chama kwa hiyo kupambana na CCM kindezi ndezi hamtoboi kamwe na kama mnategemea huruma ya CCM kutoboa mtakua hamna maana ya kuwa chama cha upinzani.
CCM hata upinzani wa ndani hauhurumiani kilaini laini bila msuli.

Kila kitu CCM wanakifanya kwa mikakati. Na kama Wapinzani hawatapata wabunge na madiwani na serikali za mitaa za kutosha mwaka huu basi nchi hii haitakuja kuwa na katiba bora milele maana watapitisha ile katiba pendekeza na ndiyo itakua katiba mpya lakini sio hivyo tu Samia atatawala mpaka 2035 . Hii miaka mitano haitahesabiwa na watashinda kesi mahakamani na mahaka itatoa hukumu kuwa Samia ana hali ya kugombea miaka kumi tangu siku ya kwanza kuapishwa baada ya kupigiwa kura kwa mujibu wa katiba iliyopo . Hii mambo ya awamu ya sita ni Janja iliyofanywa na magwiji wa sayansi ya siasa kama ninavyowadokeza kuwa CCM ni wanasayansi wa siasa Afrika nzima. Hamuelewi hata ninachowaeleza zaidi ya kuwa na kauli za kejeli wakati wengine tunataka kuona Nchi ikiondoka kwenye mikono ya familia ya watu Watanzania wanne tuu wakishirikiana na wawekezaji wa kigeni
Nikujulishe kwamba mimi sipo upande wowote wa chama chochote. Sijaandika hapa kiupinzani bali kizalendo.

Umeongea mengi kuhusu CHADEMA, wapo hapa watasoma hoja yako.

Kama kumpisha barabarani ni suala la kiusalama nakubalia na wewe. Lakini pia ni ningeshauri kwamba kama ni usalama basi uwepo sehemu zote.. kumpanga hivyo foleni ya kujiandikisha usalama ukwapi? Kama ni maadui wanaweza kuwepo popote pale.

Angefika akaenda moja kwa moja kujiandikisha ingetosha kuhamasisha wana CCM wenzake kwenda kujiandikisha. Tunafahamu kwamba yeye ni kiongozi wa nchi, hizi kero za foleni sio size yake tuache kudanganyana.
Hiyo foleni ya kuzuga kwa mtu yotote mwenye akili timamu ataona ni kichekesho.
 
Back
Top Bottom