toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Wala hujadanganya, me nna sample spacew ya watu nlokuwwa nasoma nao wale waliokuwa wanakuwa wamwisho mazerobrain wote wapo ccm sijui ccm na mazero brain wana mkataba gani aisee daaah,CCM ina watu wajinga sn
SIjui wanatuonaje hawa watuAisee una logic ila kama mtu hana D ya hesabu hawez elewa. Kawachelewesha watu kwenda shule, kanisani, hospitali, kwenye biashara zako ili awahi foleni ya kujiandikisha aje kupanga mstari akiwa kama mtu wa 20 ivi , this is so illogical na hii inaonyesha kuwa hawa jamaa wako kwa ajili ya maslai yao binafsi
Hahahaah ukiangalia vizuri kwenye foleni ni wazee watupu, what does this imply???HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Wanachekesha. Kama futuhi vileHahahaah ukiangalia vizuri kwenye foleni ni wazee watu, what does this imply???
Camera zingemfata popote hata asingepanga foleni tungejua amejiandikishaWanasiasa kila wakiona kamera,zinashuka chini! Kwa kuwa naye ni mwanasiasa wala hili halifikirishi
Nadhani kulikuwa na muda wa kuboresha daftari la wapiga kura. Muda umeisha..Utaratibu wa kupata kitambulisho chake cha upiga kura upoje maana nimejiandisha lakini sina kitambulisho.
Ujinga tu, ni kwa uzwazwa wengi watafurahi "ustaarabu wake" wa kuunga mkiaCamera zingemfata popote hata asingepanga foleni tungejua amejiandikisha
Hawakosekani wanaofurahia.Ujinga tu, ni kwa uzwazwa wengi watafurahi "ustaarabu wake" wa kuunga mkia
Yale yale ya "nyoka shujaa akimuokoa samaki aliyezama baharini" duniani uchawa utakoma pale walambwa miguu watakavyotwaliwa na Israel (siyo ya Netanyahu)Hawakosekani wanaofurahia.
Ndiyo haya akina Lucas MwashambwaWala hujadanganya, me nna sample spacew ya watu nlokuwwa nasoma nao wale waliokuwa wanakuwa wamwisho mazerobrain wote wapo ccm sijui ccm na mazero brain wana mkataba gani aisee daaah,
Hilo jitu ndio halina akili hata kidogo,Ndiyo haya akina Lucas Mwashambwa
Ni chizi kweli kweliHilo jitu ndio halina akili hata kidogo,
Angetaka kwenda mbele ya msitari angeweza.HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Wewe ulikuwepo wakati anaamua?Angetaka kwenda mbele ya msitari angeweza.
na pia sio hawakumpisha bali yeye aliamua hivyo.
Kwani akina Nyerere na Alihassan mwinyi siwalifanya kama hivyo.
So?