Hivi sasa kufuga chawa na vyawa ndio mtindo mupya Mwl. aliweza kumuumbua chawa bila kujali kama masihara ila chawa au vyawa wamesha umbuka.Mfano anatembelea eneo lako la kazi unaanda mazingira tofauti na uhalisia wa siku zote.Tarajia kuumbuka nje nje,sii wakati huu wa miradi ya ufugaji chawa.