Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

$500 kwa siku.....huku salary yako ipo ksma kawa..suala urudi salama tu...ukikaa miaka 3 si haba ukirudi hukosi 70m to 100m
Mbona hio hela ndogo sana kimahesabu. Kwa $500 kila siku maana kwa mwezi tu una around 30-35 millions kwa rate ya sasa. Hapo unazungumzia 360M au zaidi kwa mwaka ukienda miaka mitatu tu ukija we una zaidi ya Billion moko. Mtu akienda mwaka tu akirudi amenyoosa maisha. Mjengo mkali tena location ya maana kabisa.
 
Hesabu zakooo khaas 500 x 30 ni 1500 x2510 ni 3.7mil kwa mwezi...Mwaka 45mil ...plus salary zako...ulizoacha
 
Hela ndefu sana hiyo.
 
Hakuna mwanajeshi iwe wa ncho yoyote ya Afrika au wa kutokea kwengine kokote duniani au iwe raia wa kikundi chochote cha Kimataifa ambae hataki kupelekwa Kongo, tena wanaombea wapangiwe kwenda huko na wapo tayari hata kulipia kupelekwa huko.

Huko mali nje nje. Kuna biashara kuu nne wanafaidika nazo wanaopelekwa huko 1) madini ikiwemo na dhahabu 2) madawa ya kulevya 3) pesa za kigeni 4) silaha.

Nioneshe mwanajeshi mmoja anaelalamika kupelekwa huko.
 
Waache waende,siyo kila siku kufyeka nyasi makambini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Congo ni kubwa jinga la Afrika
 
Kwa Wa Tz nadhani wao wanafurahia posho....marupurupu ...kuingia chimbo kufanya biashara ni risk kubwa sana......silaha sio biashara lele mama inahitaji pesa network jeshi ....ulinzi vitu vingi na hatari sana....nakubali dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo....ukiji mix ukakosea umeishaa
 
wanaopiga biashara wapo, siyo hivyo vikuruti. Maafisa wanalamba pesa nyingi sana kwa hizo biashara haramu.
 
Hapa umenena
 
Labda ma-senior(officers) hawa wanaoitwa wapigaji wanarudi na hela kiduchu
huku migongo ikiwa imeumizwa kwa kushinda na bullet proof kila siku.
Sehemu nayo jua huwa wanapambania kwenda ni Lebanon hadi wadada wanafanya figisu waende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…