Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

Hilo Chaka la Mozambique, soldiers wa Rwanda ndio Chaka lao la kupigia maokoto. Ila wamepiga kazi aisee, Cabo delgado wameweza kuituliza.
Ile kwa Rwanda imekuwa rahisi kwa sababu wako mbali na nyumbani
hawezi kufanya ambush zao
 
Kipindi cha kabila alijaribu kutaka kutuma Askari wake wafanyiwe
mafunzo bongo, zilipigwa figisu na UN ikashindikana japo baadae
wakufunzi walienda Congo kuwapea huko huko
 
D.R .C siyo hatari kiviiilee.... ambako ni hatari ni kama Somalia,ambako Mu7 amewapeleka wanajeshi wake.D.R.C wana asilimia zaidi ya 99,ya kurudi salama.Acha waende wakapate pesa,waje wachukulie mademu wakirudi.
Acha wakapate pesa tu
 
Sehemu rahisi ni Sudan na Lebanon kule wanaenda kufanya peace keeping
Kule Congo wanaenda kufanya peace forcing na sheria za UN muasi kumshambulia
mpaka akushambulie, japo kwa peace forcing unaweza kuanza kumshambulia
 
Kazi ya jeshi au kupigana vita sio nyepesi kama unavyofikiria nikama ulivyo mpira usifikiri ni kupiga tuu golini unahitaji uziefu na sio chini ya miaka kadhaa.
 
Acha waende huku hawana kazi wananenepeana bure bila kazi
 
Niwakati sasa apigwe masase bila kumpumuzika mpaka ndani kwake abukimbielie buko Bunganda na masase yamufuate mupaka bukimbiee mumapori ya Sudan
 
Wacha waende kufanya kazi waliochaguwa,imezoeleka mwanajeshi mpaka anasitaaf hajui vita ndio maana wanajikukulia sheria mkononi kupiga kutesa raia.
 
Kazi ya jeshi au kupigana vita sio nyepesi kama unavyofikiria nikama ulivyo mpira usifikiri ni kupiga tuu golini unahitaji uziefu na sio chini ya miaka kadhaa.
Fact, nakumbuka wanajeshi wetu walipo fika Uganda kwenye office ya intelligence
walikuta data zote walizopanga ziko ndani ya office Ile wakabaki
wanashangaa kwani iddi amin licha ya kujua mipango ya TZ bado ameshindwa vita
 
pesa ndio kila kitu.
 
Wacha waende kufanya kazi waliochaguwa,imezoeleka mwanajeshi mpaka anasitaaf hajui vita ndio maana wanajikukulia sheria mkononi kupiga kutesa raia.
Angalau wakaonje raha ya mshahara wao
 
Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani
hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye

Oya acha kutuona tunapoteza muda...

Unajua maokoto ya kulitumikia jeshi la muungano wa SADC au UN wewe?

Unataka tubaki kwenye makambi Bongo halafu tufaidike nini?
 
Waache waende
Ila wakirudigi hawasemi wamekuja na sh ngapi.
Bro alienda karudi, kanunua dualis

Sis alienda Lebanon, karudi kaanza msingi mpk finishing non stop.

Cha kuwaombea ni afya njema.
Sasa wewe njoo huku, ukirud unajenga ghorofa kariakoo ya hapo Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…