Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
- Thread starter
-
- #61
Mbona huwa mkienda mnarudi mnalalama migongo kwa kushinda na bulletOya acha kutuona tunapoteza muda...
Unajua maokoto ya kulitumikia jeshi la muungano wa SADC au UN wewe?
Unataka tubaki kwenye makambi Bongo halafu tufaidike nini?
Mbona huwa mkienda mnarudi mnalalama migongo kwa kushinda na bullet
proof huku sheria za UN zikowataka mfanye hivyo ili likiwapata la
Kuwapata mlipwe vinginevyo hamlipwi kwani ni uzembe kutovaa bullet proof.
Kama ni officer mkuu malundo yapo yakushato sio sawa na wapiganaji
Private anarudi na zaidi ya 35 mil,Wao walienda mwaka mmoja.. wa Lebanon walizidisha muda sbb ya ile corona enzi imetaradadi.
Pesa nzuri,, ila cha moto wanakiona huko.
Mimi sijawahi kuivaa wanao ivaa wanalalamika, mwaka mzima kushinda na bullet proof sio mchezo.Wamatumbi wamepigana hadi Asia (kimya kimya) operesheni za kiranja wa dunia na posho per day zilikuwa dola za kutosha kiasi cha mtu kuweza kuretire jeshi...
Sasa bullet proof ina uzito gani wa askari kualalamika kuumwa mgono, unajua uzito wa ile backpack askari anayoibeba, au mashine ikiwa full loaded na risasi za ziada...
Unapokuwa frontline bullet proof na garmets nyingine za vita ni lazima labda kama uwe na mpango wa kurudi kwenye boksi...
Mimi sijawahi kuivaa wanao ivaa wanalalamika, mwaka mzima kushinda na bullet proof sio mchezo.
Wakati bongo umeeacha Miradi yako
Huko Congo DRC (Zaire) vita itakoma pale tu Serikali ya huko itakapotenda Haki kwa Raia wake wote sambamba na kukomesha dhulma zote za kiutawala, ikiwamo na kukomesha ubaguzi wa kikabila au ubaguzi utokanao na chimbuko la maeneo wanakotokea Wacongoman.Huko Congo vita vitaisha link
Yeah theoretically, iko hivyo,Kazi namba moja ya askari ni kulinda raia na mipaka, askari haogopi kufa wala hizo patashika za uwanja wa vita...
Wapi umedanganywa$500 kwa siku.....huku salary yako ipo ksma kawa..suala urudi salama tu...ukikaa miaka 3 si haba ukirudi hukosi 70m to 100m
Mkuu mbele ya huyu jamaa wewe ni zaid ya albert einstein 😂Elewa maana ya kila siku! Je 500 ukizidisha kwa 30 unachopata ni 1,500? Mimi sio Albert Einsten ila akili yangu inakataa hilo jawabu.
Hakika itakuwa poaAcha waende wakirudi waongeze mzungo wa ela mtaani,viwanja vitauzika,pombe itanyweka,ist zitanunuliwa
Kwani kazi Yao ni nini? Tzn ndio inaaminika hapa AfricaHabari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa sadc,
Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani
hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye
wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao, huku sisi tukirudisha miili kwenye mabegi
na kuongeza yatima na wajane.
View attachment 2858228
Hivi hiyo ya mtwara ni kweli walikimbia au ulikua uzushi wa kigogo?Yeah theoretically, iko hivyo,
Mbona kuna Yule Askari (officer) wetu alikimbia akaacha mzinga kule Sudan I, na juzi tu
hapa mtwara watu wamekimbia.
Hata mchyngaji anayekuhubiria habari za kwenda mbinguni hataki kuwa wa Kwanza kwenda
Itakuwa na mtindio wa ubongo, mimi kutotaka waende Congo umenijumlisha(generalize) kwenyeHivi nyie lenu ni lipi hasa? Saudia hamtaki waende, Israel hamtaki, manesi nchi za kiarabu hamtaki, Congo hamtaki. Mama naye ni binadamu ipo siku atawachoka.
Msingi wa amani ya kudumu nchini Congo DRC (Zaire) uliharibiwa na Watawala wa nchi hiyo tangu miaka mingi iliyopita, Dikteta Mobutu Sesesseko ndiye mtu wa kulaumiwa zaidi kwenye suala hili la ukosefu wa amani na utulivu nchini Congo.Congo inashindwaje ku train kikosi maalum cha askari 10,000 kilichojaa wazalendo halafu kiingie kazini pamoja na jeshi la kawaida?
Umeshaoeta uchawa wako sisi tunazungumza kwa facts and figures, inaaminika na niniKwani kazi Yao ni nini? Tzn ndio inaaminika hapa Africa