Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

Waache waende
Ila wakirudigi hawasemi wamekuja na sh ngapi.
Bro alienda karudi, kanunua dualis

Sis alienda Lebanon, karudi kaanza msingi mpk finishing non stop.

Cha kuwaombea ni afya njema.
Na wewe unaenda lini miss depo?
 
Ntakuwa chawa wako fala wewe.

Kazi ya Wanajeshi ni kulinda amani na ndio hiyo wameenda kufanya.
Na kazi ya chawa ni kwenda kuanzisha nyuzi huko za kulamba makalio
hii sio kazi yako kichwa maji, nenda ukalime huko msimu wa kilimo
huu uache kulamba makalio ya wanaume
 
Bora waende uko tu. Bongo kwenyewe hakuna vita wala vikundi vya kigaidi hapa wanajeshi wanakosa uwanja wa kufanyia practice mafunzo yao matokeo yake wanaishia kuonea raia.
 
Ki ukweli siwezi kwenda UN, nitapambana hapa hapa bongo.
 
Wacongo ni lazy sana, wana uwezo wa kutengeneza jeshi la watu 100,000 na wakifanya hivyo vita na Rwanda kwisha.
 
Wewe fala tu. Unalalamika kutoka kijiweni kama malaya alonyimwa pesa baada ya kazi yake haramu.
Tuache tukaikomboe DRC kutoka kwa Kagamee
Fala na Malaya ni mama yako aliye kuzaa fala, ukute hujawahi kushika hata gobole
 
Hii inamaana gani mpk muasi aanze kkshambulia, sasa hapo siwatakuwa wanafanya shughuli zao kwa kujiimarisha zaidi
Sehemu rahisi ni Sudan na Lebanon kule wanaenda kufanya peace keeping
Kule Congo wanaenda kufanya peace forcing na sheria za UN muasi kumshambulia
mpaka akushambulie, japo kwa peace forcing unaweza kuanza kumshambulia
 
Mbona tunao wengi tu kivu Bukavu na Goma ....? Miaka zaidi 8 sasa au zaidi ?? UN Mission wanaita Monusco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…