Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao, huku sisi tukirudisha miili kwenye mabegi na kuongeza yatima na wajane.